mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,789
- 7,182
= ajaliJF,
Kuna ajari nyingi huwa zinatokea maeneo ya dawasco na kituo cha mafuta boko, hizi ajarizinatokea mahari ambapo matrafik husimama kukamata magari. Kiini cha tatizo hili sugu nini nini?