Watanzania tujipongeze: Tz ni ya 5 duniani kwa kasi ya ukuaji uchumi.

Royal Warrior

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
1,161
2,000
salaam...

kama kichwa cha habari kinavyosomeka. Hii taarifa imetolewa na world bank (WB), uchumi wetu wa Tanzania unakua kwa kasi ya 7.2% kwa mwaka huu 2017. Hivyo kuifanya Tanzania kuwa ya 5 duniani na ya PILI kwa Africa kwa kasi ya ukuaji uchumi. naomba tujipigie makofi...

Capture.PNG

Ushauri: tusiendekeze sana siasa, tuchapeni kazi jamani. ugumu wa maisha hatoumaliza Magu wala Loawasa. ni sisi wenyewe raia tukichapa kazi kwa bidii tutau tokomeza umasikini. kila mtanzania kwa nafasi yake aliyopo ajenge nchi. siasa tufanye ikifika 2020. sasa hivi tuwaache waliochagulia wafanye kazi zao, huu sio muda wa kuwa evaluate. they need time to accomplish what they have promised.
 
MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,743
2,000
salaam...

kama kichwa cha habari kinavyosomeka. Hii taarifa imetolewa na world bank (WB), uchumi wetu wa Tanzania unakua kwa kasi ya 7.2% kwa mwaka huu 2017. naomba tujipigie makofi...

View attachment 526300

Ushauri: tusiendekeze sana siasa, tuchapeni kazi jamani. ugumu wa maisha hatoumaliza Magu wala Loawasa. ni sisi wenyewe raia tukichapa kazi kwa bidii tutau tokomeza umasikini. kila mtanzania kwa nafasi yake aliyopo ajenge nchi. siasa tufanye ikifika 2020. sasa hivi tuwaache waliochagulia wafanye kazi zao, huu sio muda wa kuwa evaluate. they need time to accomplish what they have promised.
Labda kwenye makaratasi, huku kwetu wananchi Hali ni mbaya sana
 
Joseverest

Verified Member
Sep 25, 2013
44,074
2,000
Sawa mkuu tunachapa kazi lakini huo ukuaji wa uchumi mwananchi wa hali ya chini haelewi kabisa, Hali ni ngumu analalamika pamoja na kujituma
 
Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
7,217
2,000
Unawezaje sema uchumi unakua kwa kasi wakati HUKU KWETUUUU hata kula imekuwa tabu!!!!
 
Royal Warrior

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
1,161
2,000
Sawa mkuu tunachapa kazi lakini huo ukuaji wa uchumi mwananchi wa hali ya chini haelewi kabisa, Hali ni ngumu analalamika pamoja na kujituma
ugumu wa maisha (umasikini) hauwezi kumalizika over-night. hatuwezi leo kulala maskini kesho tukaamka sote matajiri. tupande ngazi kwa ngazi. tusikate tamaa, inshaaAllah tutafika tu.
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
16,384
2,000
Nchi ya vi-wonder TanzaNoah!!

Aliahidi mil 50 kwa kila kijiji...

Juzi akasema kila mtanzania atapata Noah moja kwa pesa za makinikia...

Kweli hii nchi ya vi-wonder!
 
BINARY NO

JF-Expert Member
Dec 29, 2011
2,054
2,000
Hizi report zinawasaidiaje waTz?
Watumishi Mwaka wa pili huu ameshindwa kuwaongezea Asilimia ata 15% tu ya mishahara! Ajifunze kwa JK ktk kipindi chake aliongeza mishahara zaidi ya 300%
 
jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
33,410
2,000
Hizi report zinawasaidiaje waTz?
Watumishi Mwaka wa pili huu ameshindwa kuwaongezea Asilimia ata 15% tu ya mishahara! Ajifunze kwa JK ktk kipindi chake aliongeza mishahara zaidi ya 300%
Kwa kipindi cha JK hali ilikuwa nzuri?
 
Royal Warrior

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
1,161
2,000
Hizi report zinawasaidiaje waTz?
Watumishi Mwaka wa pili huu ameshindwa kuwaongezea Asilimia ata 15% tu ya mishahara! Ajifunze kwa JK ktk kipindi chake aliongeza mishahara zaidi ya 300%
nitajie nchi moja ambayo imeendelea kwa kuwaongezea mishahara wafanyakazi tu?.. tunahitaji tuwekeze kwenye miundo mbinu kwanza. kama kipato hakijitoshelezi, ongeza vyanzo vingine vya mapato.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom