MeinKempf
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 11,094
- 7,225
Malengo Makuu ya Tanzania Mineral Audit Agency (TMAA).
Hii ndio mamlaka iliyopewa dhamana na watanzania kuhakikisha mambo ya madini yanaenda sawa kwa kadri ya sheria na kanuni za nchi, ila matokeo yake ,lakini matokeo yake imegeuka na kuwa kaa la moto kwa watanzania baada ya kugeuka na kuwa dalali wa kuidanganya serikali na kuiibia mapato yake halali ya madini,
Mh. Rais JPM kaivunjilia mbali bodi na management mzima, tupa kule. Hongera sana mh Rais.
- Kuhakikisha kuwa serikali inapata mapato ya kutosha katika sekta ya madini kupitia shughuli za madini na utunzanji mazingira unaotokana na kazi za kuchimba madini nchini Tanzania.
- Aim of TMAA
To facilitate maximization of Government revenue from the mining industry through effective monitoring and auditing of mining operations and ensuring sound environmental management in the mining areas.
Our Mission
To conduct financial and environmental audit as well as auditing of quality and quantity of minerals produced and exported by miners in order to maximize benefits to the Government from the mining industry for sustainable development of the Country.
Our Vision
To be a centre of excellence in monitoring and auditing of mining operation
- Wana amini katika kufanya kazi kwa uaminifu na uadilifu wa kiwango cha juu ili kuhakikisha kuwa serikali inapata mapato yake yanayotokana na kazi za uchimbaji madini Tanzania.
- Kusimamia na kukagua madini yote (aina zote) yanayozalishwa na kusafirishwa nje ya nchi ya Tanzania.
- Kutoa taarifa za kitaalamu juu ya uwepo na upatikanaji wa madini katika maeneo mbali mbali ya nchi.
- Kutoa bei za madini kwa kadri ya bei ya soko kwa wadau wa madini Tanzania.
- Kuhakikisha ubora na kiwango / kiasi cha madini aina zote yazalishwayo Tanzania.
- Kufanya tafiti mbali mbali za kitaalamu kuhusu madini na faida zake kwa serikali
- kuishauli serikali juu ya mambo mbali mbali ya kitaalamu kuhusu madini.
Tanzania kupitia TMAA , na zote hizi zilishindwa kung'amua kuwa kulikuwa
na udanganyifu mkubwa katika taarifa mbali mbali za makampuni ya uchimbaji madini.
Ifatayo ndio timu nzima ya uongozi wa juu wa iliyokuwa TMAA ambayo leo imetumbuliwa, waome na uwajue hadi kwa sura zao.
Majina ya Wajumbe wa bodi ya TMAA
- Chairman Charles Abel Sabuni
- Wajumbe: Dr Evelyn M. Richar
- Dr Augustine Hangi
- Dr Isaac Muneji Marobhe
- Ndg Fatuma Chillo
- Ndg Casmir Faustine Nkuba
Management Team
Eng. Dominic Rwekaza
Chief Executive Officer
Eng.Gilay C.Shamika
Director of Minerals Valuation and Laboratory Services
Mr. Thadei Sijaona
Director of Information and Communication Technology
Mr. Emanuel P. Sumay
Director of Environmental Monitoring and Auditing
Mr. Elikana Petro
Director of Business Support
Eng. Jumanne Mohamed
Minerals Production and Export Monitoring Manager
Mr. Venance B. MwaseAg. Director of Financial Auditing and Analysis
Mr. Julius Z. Moshi
Planning and Research Development Manager
Mr. Andrew Mwangakala
Data Analysis and Management Manager
Eng. Mvunilwa R. Mwarabu
Laboratory Services Manager
Mr. George B. Kaseza
Mineral Valuation Manager
Mr. Malimi Magashi Mawe
Head of Internal Audit Unit