Harufu ya kutu kwenye bia za castle, ina maana TBS hawalijui hili?

Uliza Nkujibu

JF-Expert Member
Sep 14, 2016
806
636
Inaboa aisee inaboa sana, ina maana hakuna hata mfanyakazi mmoja wa TBS anaekunywa bia? Hii harufu ya kutu ninayoisikia nikinywa bia ni mimi tu au na wengine mnaisikia?

Watengenezaji wa bia za Castle mnakera, kutu sio nzuri kwa afya ya mwanadamu sasa mnavotulisha siwaelewi mna mpango gani! Mtu unafunguliwa chupa na mhudumu, ukitia mdomoni harufu ya kutu inasikika, sasa kama sio uchafu ni nini?

Kama kutumia chupa kumewashinda tumieni hata packages za plastics, tunaumizana namna hii sio ubinadamu huu.

Nyie mnahitaji hela sisi wateja tunahitaji stimu, tunawapa hela halali mnatupa bia chafu, manake ni nini?

Hebu liangalieni hili kabla sijalifikisha katika vyombo husika.
 
inaboa aisee inaboa sana..
ina maana hakuna hata mfanyakazi mmoja wa tbs anaekunywa bia?
hii harufu ya kutu ninayoiskia nikinywa bia ni mimi tu au na wengine mnaiskia?
watengenezaji wa bia za Castle mnakera, kutu sio nzuri kwa afya ya mwanadamu sasa mnavotulisha siwaelewi mna mpango gani!! mtu unafunguliwa chupa na mhudumu, ukitia mdomoni harufu ya kutu inaskika, sasa kama sio uchafu ni nini? kama kutumia chupa kumewashinda tumieni hata packages za plastics, tunaumizana namna hii sio ubinadamu huu..
nyie mnahitaji hela sisi wateja tunahitaji stimu, tunawapa hela halali mnatupa bia chafu, manake ni nini?
hebu liangalieni hili kabla sijalifikisha katika vyombo husika.
Unanyota ya juice bia waachie wenye nyota zao
 
Hiyo harufu ya kutu inatoka wapi, wakati hizo can ni za aluminiam?

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
1479818324649.jpg
1479818330852.jpg
 
Kutu kwenye chupa ya glass?glass haipati kutu
Pia kama ni Aluminium can, ALUMINIUM HAISHIKI KUTU,hakiki pua zako vzr
 
Bia Pombe hii hii inayotulewesha wananchi mpaka wengine wanapiga pushups kutafuta sifa au unazungumzia bia ipi mkuu hebu fafanua vizuri, Pombe ndiyo imepata kutu au vifuniko
 
Ungeripoti tatizo kwa muhudumu. Kuleta humu jamvini ni kuwaharibia biashara .
 
Bia Pombe hii hii inayotulewesha wananchi mpaka wengine wanapiga pushups kutafuta sifa au unazungumzia bia ipi mkuu hebu fafanua vizuri, Pombe ndiyo imepata kutu au vifuniko
kutu ipo mdomoni mwa chupa na kwenye kifuniko.
 
Ungeripoti tatizo kwa muhudumu. Kuleta humu jamvini ni kuwaharibia biashara . Ungecheck na customer service.
muhudumu taarifa zimeshamfikia ila imebidi tu nilete humu kuona kama kuna watu wamekutana na hii ishu au vipi
 
Back
Top Bottom