Nyumba inapangishwa - Kange Kasera Tanga

bigmash

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
416
500
IMG_20170623_091139.jpg

Wadau wenzangu, nyumba inayoonekana hapa ni ya vyumba vitatu (viwili ni master rooms) ina sebule kubwa, dining, car park, public toilet, jiko, store mbili na ina eneo kubwa (linaweza kulimwa mbogamboga) haina fence, bei laki mbili (200,000/tsh) kwa mwezi, kwa mwenye huhitaji tuwasiliane 0754 481519.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom