Hili la Algeria na maimamu wa kike limekaaje

Zambotti

JF-Expert Member
Jul 2, 2016
1,629
2,000
Nilikuwa napitia website ya tcu nkakutana na tangazo la scholarship za Algeria, moja ya vipengele ambavyo wao kama nchi wanaidhamini Tanzania kupeleka wanafunzi wao katika category ya religious affairs ni nafasi ya wanafunzi wakike kwa ajili ya kwenda kusomea uimam wa misikiti (imamat) na kupewa kibali yaani Bachelor degree(licence) in Imamat. Kozi inatolewa kwa muda wa miaka 3.

Em kwa wale wahusika na wajuvi wa hizi kazi mtoe maoni au kama kuna marekebisho ya uelewa turekebishane tafadhali maana mpaka sasa sijalielewa hili suala.

N.B: Kama huna unachokijua tafadhali pita kimya!!!!
 
Attachments

Zambotti

JF-Expert Member
Jul 2, 2016
1,629
2,000
hiyo siyo maana ya imam, pokea mabadiliko kama mnavyokubali kupokea misaada kutoka kwa waislam wenzenu
Kwa taarifa tu kama ulikuwa haujui: UISLAM NI DINI ILIYOKWISHA KUKAMILIKA na wala haihitajii mabadiliko, ukiachana na hivi vitimbi vya wamagharibi katika dunia hakuna jipya litakalokuja kubadilisha mtazamo wa uislam, yaani kama zamani maimam walikuwa wanaume basi sasa tuweke na wanawake kutokana na haki sawa, aah NEVER!!
 
GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,546
2,000
yeaah..tatizo liko wapi? ni scholarship yao na wanaotakiwa ni wao sasa hapo mi sioni tatizo. scholarship unajua maana yake nini? vitu vingine mtu analalamika vya kipuuzi kabisa.
Scholarship yenye vigezo vya kidini
 
kedekede

JF-Expert Member
Aug 21, 2016
3,983
2,000
Wanawake watakuwa maustadhat wakimaliza,maana wanawake hawaswalishi,imam ni kiongozi wa msikiti,anayeswalisha.hakuna imam wa kike ni kwamba atakuwa anafundisha wanawake madrasa na dini.pili wewe unahangaika nini na dini sio yako?ukitaka kuujua uislam huwez kuujua ukiwa naswara,ingia kwenye uislam tukufundishe mambo mazuri,njoo kwenye nuru,njoo kwenye ukweli.Hebu google yule mwanajeshi wa marekani alivyosilimu kule guantanamo ujue ni kwa nini!
 
Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
10,832

naunga mkono maneno yako, ni maneno sahihi ya mfia dini kwa kuwa hawezi kuona maovu yanayofanywa na wafia dini wenzie kwa kivuli cha kutekeleza mema ya dini: Taarifa, Kharif albagdad ameuawa juzi kwa makombora ya makafir wa Moscow.
 
Na uislam umejitenga mbali na fitna za mambo ya ugaidi. hiko ni kimvuli kibaya anachokitumia mmarekani kuangamiza uislam kwa maslahi yake. Akina baghdad, Zawahri na wenziwao si katika waislam na matendo yao tunayapinga vikali, soma mambo mengi mkuu usitegemee BBC pekee iwe ndio chanzo chako kikuu cha habari za dunia.
 
babu na mjukuu

JF-Expert Member
Jun 23, 2016
2,370
2,000
naunga mkono maneno yako, ni maneno sahihi ya mfia dini kwa kuwa hawezi kuona maovu yanayofanywa na wafia dini wenzie kwa kivuli cha kutekeleza mema ya dini: Taarifa, Kharif albagdad ameuawa juzi kwa makombora ya makafir wa Moscow.
Kama wafia dini wanaowaombea waisrail na kuziba macho ushoga wao
 
BIGstallion

JF-Expert Member
Sep 13, 2016
6,391
2,000
Ujerumani ni katika wamagharibi wenye kueneza fikra chafu dhidi ya uislam ili kuupa taswira mbaya katika sura ya dunia
Sasa ndo tumefika uko,na baada ya muda utasikia wapo dunia nzima,kwa iyo jarib kua flexible kua uisilam uwez badilishwa,..ii ni dunia na imani yake inabadilika kila Siku,
 
El sabry

New Member
May 16, 2017
1
45
"imamat" haimaanishi kuwa "imam" wa msikit, bali neno linalomaanisha "kiongozi" kama ilivyo kwny neno "imam"kwa jinsia ya kiume, lenye maana ya kiongoz"
kwahyo hyo isikupe shida mkuu,maana kiarab mnyumbuliko wake wa maneno n tofaut sana na lugha nyngn

Sent from my TECNO-L5 using BONGO NEWZ
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom