Kuwa makini Polisi wanatafuta pesa za sikukuu

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,137
2,000
Sisimizi (mdudu chungu) aliwaambia wenzake ; "Ingieni mashimoni kwenu
asije akakukanyageni Mfalme Suleiman na majeshi yake"

Ndiyo na hiki ndio kilichopo sasa, nilikuwa stendi nikijiandaa kwa safari hapo
ndipo niliposhuhudia nini kinafanywa na Polisi kutafuta pesa ya sikukuu, pikipiki
zinakamatwa isivyo kawaida na kupakiwa kwenye PT, sijaona pikipiki ikitoka
salama ndani ya stendi yeyote aliyeingia na abiria humo ndani mpaka muda huo
kuanzia saa 11.00 mpaka saa 12.17 muda ambao gari yetu imeruhusiwa kuondoka
badala ya saa 12.00 muda ambao ilitakiwa tuondoke.

Kuwa makini ndugu yangu, nguvu ya misako imeongezeka, sasa hivi ukikamatwa
bila laki moja.......... kutoka ni shuguli pevu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom