Ona watu wasivyotaka kubadilika

Ona watu wasivyotaka kubadilika

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2013
Posts
942
Reaction score
567
Kuna document hapa ofisini kwetu hazipatikani kisa hakuna anaekwenda kuchukua.Lakini wapo wanaokwenda huko kila mara lakini hata kujitolea kuzichukua hawafanyi hivyo.Document zenyewe hata kilo 20 hazifiki.Naomba kusiwe na maswali mengi sana kwakuwa ni jiwe gizani najaribu kuhamasisha kujitolea kwa vitu vidogo vidogo jamani
 
Back
Top Bottom