Barabara MUHIMU kwa sasa ni ya Nachingwea hadi Mahenge Morogoro.

moma2k

JF-Expert Member
Dec 12, 2010
975
1,000
Barabara hii ni muhimu sana kama itajengwa kwa kiwango cha lami. Itaunganisha mikoa ya kusini na Dodoma. Bidhaa kama cement ya Dangote itawezafika Dodoma na mikoa mingine kwa gharama nafuu hivyo bei kuwa chini. Tunaomba serikali ichukue hatua ili barabara hii ijengwe kwa kiwango cha lami.
 

Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
11,173
2,000
Tunasubiri kwanza zile noah kila mtu.....baadae tutajuaa what next hatuna vipaumbele ataloamua mfalme ndio kipaumbele kwenye "utawala wake" nilidani anawatumikia wananchi kumbe anajitumikia mwenyewe sababu alichukua form mwenyewe.......na huu ni utawala wake!!! Nilidhani atajenga mifumo kufuata sheria na katiba kumbe ni matakwa yake binafsi....basi sawa!!!! Urahisi ni taasisi ile dhana ya kuw yeye ndio kila kitu yeye ndio ilani na katiba asemalo linavunja shheria na katiba alioapa.......kweli tumekosea sanaa na sasa chama na nchi inajuta!!! Akiba ya maneno na busara......zeroo!!!! Naliliaa katiba.......mpyaaaa
 

moma2k

JF-Expert Member
Dec 12, 2010
975
1,000
Kwanini usisema kutokea Masasi au Nanganga-Ruangwa-Nachingwea au hiyo cement itatokea hapo Nachingwea?
Nashukuru kwa masahihihisho.Sijui vizuri geografia ya huko.Point yangu ni kwamba mikoa ya kusini iunganishwe na Dodoma KUPITIA mkoa wa Morogoro,kuliko ilivyo sasa mzunguko mrefu.Barabara ya lami ijengwe.Itapunguza sana safari ya kuzunguka.
 

kiduni

JF-Expert Member
Jun 26, 2015
256
250
Nashukuru kwa masahihihisho.Sijui vizuri geografia ya huko.Point yangu ni kwamba mikoa ya kusini iunganishwe na Dodoma KUPITIA mkoa wa Morogoro,kuliko ilivyo sasa mzunguko mrefu.Barabara ya lami ijengwe.Itapunguza sana safari ya kuzunguka.
Kuna barabara ilikuepo zamani kutokea Liwale hadi Morogoro sijui kwa nini haikuendelezwa maana hapo mi naona ndo kwenye mlango uliofungwa naamini ukifunguliwa tutafungua uchumi
 

likandambwasada

JF-Expert Member
May 27, 2015
5,412
2,000
NI KWELI, ITATURAHISISHIA USAFIRI WA KWENDA MIKOA YA KANDA YA KATI NA HATA KASKAZINI NA KURAHISISHA MAWASILIANO YA BIASHARA
 

Ngushi

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
9,080
2,000
Mmmh aisee hivi umeshawahi safiri angalau kutoka mahenge mpaka morogoro mjini tu uone hiyo issue ilivyo ngumu?
 

mchezo mbaya

JF-Expert Member
Feb 11, 2017
203
250
Mahenge - Moro panaonekana kama ni mbali kwa sababu kuna kipande kirefu cha barabara isiyo na kiwango cha lami.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom