LIKO WAPI JUKWAA LA SHERIA

Kingeke Mavoya

JF-Expert Member
Jan 27, 2017
619
1,000
Habari yenu wana JF mimi sipendi kusalimia sana maana dk zangu nichache ila ningeombatu kuuliza kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo kwamba mwanzo humu JF kulikua na jukwaa la sheria ila jaajabu sioni tena hivyo nilikua naomba anayefahamu sababu aniambie maana napenda sana mada za sheria
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom