Huwa unachukua maamuzi gani unapoona mtu anakosea ,anaudhi au anaenda kinyume?

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,256
2,000
Katika maisha kuna tofauti ambazo huwa zinajiktokeza baina yetu. Kuna wakati unaona kabisa mtu anakosea,anaudhi na anaenda mrama (kinyume) sana kwa namna ambavyo unategemea aikune roho yako.

Binafsi mtu nikiona anafanya hivyo,huwa namwambia ukweli na live bila kujali atareact vipi. Huwa sijali sana,nakuchana tu live ili uone kwamba kuna kitu unaboa.

Je wewe mwenzangu huwa unachukua maamuzi gani unapoona mtu anakuudhi, anakuona au anakosea?

Karibuni.
 

Kingsharon92

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
6,706
2,000
Mara Nyingi Huwa Sivumilii Upuuzi Nakuchana Live Na Ukijifanya Mbabe Lazima Niliamshe Dude Huwa Napenda Sana Ugomvi Haswa Nikichokozwa Huwa Naishi Na Kauli Mbiu Ya Mama Yangu Ukishindwa Kusamehe Lipa Kisasi
 

Mkumbwa Jr

JF-Expert Member
Mar 23, 2016
1,179
2,000
Situational and contextual (hali halisi na mazingira)ndio misingi mikuu katika kutenda haki

Mfano mtu anaweza hata kuua lakini akaonekana hana hatia kutokana na halihalisi na mazingira
 

God Heals

JF-Expert Member
Aug 7, 2015
687
1,000
Kiasili huwa sipendi mwengine aniudhi/anikere/anikosee na yote yanayofanana na hayo; kama vile mimi nisivyopenda kumfanya mwengine audhike.

Na ikitokea mwengine kaniudhi, mosi huwa namwacha aendelee aone kilichomtoa kanga manyoya; au mbili huwa namwambia kosa lake, na kumuomba ajirekebishe.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom