ndalandefu
Senior Member
- Nov 14, 2013
- 123
- 47
Ni lini Serikali itatoa majibu ya rufaa ya vyeti feki kwa wenye kufahamu.
Maana mishahara ya Watumishi imesimamishwa sasa Mwezi wa pili pasipo kupewa majibu yeyote kwa waliokata rufaa.