Trafiki polisi wa VETA wanaudhi kuruhusu magari ya upande mmoja tuu

fazam

JF-Expert Member
Feb 6, 2014
1,676
2,000
Wakuu,
Trafiki polisi wa VETA wanaudhi katika suala kuruhusu magari. Wanachelewesha raia kufika kazini asubuhi na kurudi majumbani jioni.

Wanaporuhusu gari zinazoelekea Mbagala na zinazoelekea Kinondoni, wamekuwa na tabia ya kuruhusu gari chache na kuwasimamisha zaidi ya nusu saa. Inakuhitaji zaidi ya saa nzima kupita eneo hilo. Wao muda mwingi wanaruhusu gari zinazoelekea airport na katikati ya mji tu.

Sio fair
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom