Zimepotelea wapi habari za Makonda, Madawa ya kulevya, Makinikia na ACACIA?

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,260
2,000
Habari tajwa hapo juu zilibamba Sana hasa miezi ya hivi karibuni, suala la Makonda ndo lilikonga nyoyo za vyombo vya habari, zikaja habari za Madawa ya kulevya, zikapotea, hivi majuzi mambo ya Makinikia na hata Watanzania wasiojielewa wakaingia road kuandamana kumpongeza JPM Kwa suala la Makinikia wakati hata matunda ya uzuiaji huo hatujayaona wengine wanaenda kupongeza.

But ghalfa naona habari za Makinikia zimepotea

Now kuna kiki ya ndugu Singasinga na Rugemalila wa Escrow

Ukiangalia Kwa haraka haraka utagundua utawala huu ni wa matukio na kiki hakuna la maana linalofanywa na watawala zaidi ya kuunda matukio na kiki

Kwa hali hii nchi itaendelea Kuwa maskini tu na hii Sera ya viwanda itafeli Tu coz serikali imekalia kiki za kisiasa na kuunda Una matukio ili kutafuta umaarufu.
OVA
 
Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,680
2,000
Mkuu, kwa vyevyote vile CCM itashinda tu hiyo2020! Unajua kwa nini? Mradi wa treni mpya ya umeme ya kwenda Morogoro utakamilika mwezi wa 10 mwaka 2019.

Miradi ya umeme ya REA ya mikoa kama mitano hadi saba itakamilika 2019, Miradi ya ujenzi wa nyumba za Magomeni itakamilika nadhani kama sio mwishoni mwa 2018, basi itakuwa 2019.

Kwa hiyo kwa kiki zitakazopatikana kutokana na ukamilifu wa miradi, wananchi watasahau kabisa shida walizo nazo na tumaini jipya litaamka... Hawa jamaa sio watu wa kisport sport...
 
rubii

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
11,465
2,000
Mkuu, kwa vyevyote vile CCM itashinda tu hiyo2020! Unajua kwa nini? Mradi wa treni mpya ya umeme ya kwenda Morogoro utakamilika mwezi wa 10 mwaka 2019. Miradi ya umeme ya REA ya mikoa kama mitano hadi saba itakamilika 2019, Miradi ya ujenzi wa nyumba za Magomeni itakamilika nadhani kama sio mwishoni mwa 2018, basi itakuwa 2019. Kwa hiyo kwa kiki zitakazopatikana kutokana na ukamilifu wa miradi, wananchi watasahau kabisa shida walizo nazo na tumaini jipya litaamka... Hawa jamaa sio watu wa kisport sport...

Nashida haziwezi kumalizwa na serikali wala mtu yeyote! Shida za mwanadamu humalizwa na kaburi tu!
 
Al-Watan

JF-Expert Member
Apr 16, 2009
11,920
2,000
Sasa hivi ni Mutalemwa, Kibiti, Rugemalira na Seth Singh (Escrow Part 2).

Albamu mpya kila siku chini ya uongozi wa producer Magufuli.

Nyingine zinaingia kwenye chati za top ten, nyingine zinasahauliwa.
 
mwakibete

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
3,002
2,000
Mkuu, kwa vyevyote vile CCM itashinda tu hiyo2020! Unajua kwa nini? Mradi wa treni mpya ya umeme ya kwenda Morogoro utakamilika mwezi wa 10 mwaka 2019. Miradi ya umeme ya REA ya mikoa kama mitano hadi saba itakamilika 2019, Miradi ya ujenzi wa nyumba za Magomeni itakamilika nadhani kama sio mwishoni mwa 2018, basi itakuwa 2019. Kwa hiyo kwa kiki zitakazopatikana kutokana na ukamilifu wa miradi, wananchi watasahau kabisa shida walizo nazo na tumaini jipya litaamka... Hawa jamaa sio watu wa kisport sport...

Hakuna hata kimoja kati ya ulivyotaja kinaweza kuwa sababu ya CCM kushinda uchaguzi 2020.
Sababu kubwa ya CCM kushinda ni mbili tu
1. Tume ya uchaguzi
2. Katiba ya nchi

Kama upo karibu au una urafiki na ngosha, mwambie afanye marekebisho ya katiba na kuweka tume huru ya uchaguzi halafu aone kama hajachonga viazi hiyo 2020.
 
Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Aug 2, 2016
23,509

Hakuna cha tume huru wala katiba. Upinzani huu wa akina Msigwa na Lisu & co hauna cha maana. Watazeekea upinzani huku wakipinga kila kitu.
 
Hunyu

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
4,780
2,000
Ukiwa na cherehani mbili hicho ni kiwanda..

Watanzania wako busy kukopa kwa Mangi maana wamehakikishiwa mgawo wa Noah moja na 2.M hata kama umezaliwa leo.
 
Froida

JF-Expert Member
May 25, 2009
8,762
2,000
Mkuu, kwa vyevyote vile CCM itashinda tu hiyo2020! Unajua kwa nini? Mradi wa treni mpya ya umeme ya kwenda Morogoro utakamilika mwezi wa 10 mwaka 2019. Miradi ya umeme ya REA ya mikoa kama mitano hadi saba itakamilika 2019, Miradi ya ujenzi wa nyumba za Magomeni itakamilika nadhani kama sio mwishoni mwa 2018, basi itakuwa 2019. Kwa hiyo kwa kiki zitakazopatikana kutokana na ukamilifu wa miradi, wananchi watasahau kabisa shida walizo nazo na tumaini jipya litaamka... Hawa jamaa sio watu wa kisport sport...
hawatashindlabda wapachikwe maana hata 2015 mahesabu hayakulipa ,treni ya morogoro atapanda nani umeme utawekwa kwa hela ya makanikia manake sasa hawawezi kukusanya kodi wameuwa vyanzo vyake na wafadhali wameota mbawa
 
Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,680
2,000
hawatashindlabda wapachikwe maana hata 2015 mahesabu hayakulipa ,treni ya morogoro atapanda nani umeme utawekwa kwa hela ya makanikia manake sasa hawawezi kukusanya kodi wameuwa vyanzo vyake na wafadhali wameota mbawa
Hii ya kumkamata SINGASINGA wa IPTL ndio kaburi la uchumi wa nchi yetu. It has sent a shock wave in Asian community which controls private sector by around 50%.
Sasa Wahindi watazidi kuficha pesa na hali itazidi kuwa ngumu zaidi ya hapa. Jamani, twafaa...
 
kunguni wa ulaya

JF-Expert Member
Mar 16, 2014
4,121
2,000
Sasa hivi ni Mutalemwa, Kibiti, Rugemalira na Seth Singh (Escrow Part 2).

Albamu mpya kila siku chini ya uongozi wa producer ********.

Nyingine zinaingia kwenye chati za top ten, nyingine zinasahauliwa.
Sasa hivi iliyo hot ni ishu ta kanda maalum tu. Kibiti
 
Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Aug 2, 2016
23,509
2,000
Hii ya kumkamata SINGASINGA wa IPTL ndio kaburi la uchumi wa nchi yetu. It has sent a shock wave in Asian community which controls private sector by around 50%.
Sasa Wahindi watazidi kuficha pesa na hali itazidi kuwa ngumu zaidi ya hapa. Jamani, twafaa...
Kwa hiyo ingekuwa ni Lowasa angemwachia huyo singasinga aendelee kupeta?
 
Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,680
2,000
Yours is neither a situation nor an analysis.
Siko hapa kubishana. You either take it or leave it, but the repucussion kwenye uchumi wa nchi will be remarkable. I have been dealing with Rich Asians since 2010. I know them, hawa watu ni waoga sana. Hata wakati wa uchaguzi 'wote' walihama nchi. Walienda Uingereza na Asia wakisikilizia uchaguzi upite. Since Sept to Dece 2015 the Asian controlled economy was frozen, and since then the liquidity in the market has never recovered...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom