Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa wa jukwaa hili
Mimi nina dukuduku sana na hawa wenye nyumba. Hivi kweli wao hawaoni kama hali ni ngumu au wanafanya tu makusudi?
Leo mama mwenye nyumba kanifuata...
Kwakweli hii kitu haijakaa sawa.Kuna uwezekano kabisa majina yanakosewa makusudi ili mjipatie pesa.Elfu 20 ni kubwa mno kwa usawa huu. Nipo hapa magomeni kwenye ofisi zao ili jina langu lilekebishwe
Wazee wa ngano a.k.a Gambe mpo.
Aisee kwenye vikao siku izi naona wahudumu wanahaha kubeba mizigo ya serengeti lite kuliko bia nyingine.
Hii kitu kitu inaelekea kuimaliza Castle lite mda sio...
Ni wakati wa kusimama kuelimishana kuungana tutetee taifa letu katika ulimwengu huu wa teknolojia, watanzania wengi tumenunua simu za kisasa na tumejisajili katika mitandao mingi ya kijamii ili...
Kuna watoto amezaliwa huku wakiwa wameungana sehemu za tumbo watoto hawa wamezaliwa huko singida na wameletwa muhimbili, nachotaka kusema ni kuwaomba muhimbili wasijaribu kufanya majaribio kama...
Headlines za leo, ni kuhusu kauli aliyoitoa JPM huko pwani ya kuwa mtoto wa kike akipata mimba hataruhusiwa kurudi tena shule.
Najaribu kujiuliza,
Je elimu mwendelezo ya kutosha inatolewa...
Nimeona kuna ujenzi wa barabara mpya unao jengwa kusini mwa jiji la arusha, nimesikia kuwa bara bara hiyo inatokea ngara mtoni kwenda mapaka usa river kupitia kusini mwa jiji. Wakati natoka ISM...
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Lutengano alisema majira ya saa saba usiku wa juzi alimsikia mbwa wake akibweka kwa nguvu huku akielekea kupambana na adui.
Alisema...
Huyu jamaa anayejiita Tbway & baby faizer lani siwaelewi kabisa.... lani wameharibu kipindi cha 5select
Kipindi hiki kilikuwa bomba sana wakati hakina upuuzi huu
Mfanyabiashara wa Kariakoo, Casto Ngogo (35) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kukutwa na vifaa vya serikali ambavyo ni suruali 5,000 sare za Jeshi la...
This is a true story:
Mimi ninasomeja mtoto wa Marehemu kaka yangu, binti huyo sasa yupo form three (shule siitaji). Huyu binti yetu alipewa ujauzito akiwa darasa la saba mwishoni.
Matokeo...
Awali ya yote niweke wazi kuwa sina maslahi na chama chochote kile cha siasa.
Kwangu Tanzania kwanza. Siku za karibuni kumejitokeza tabia kwa baadhi ya watu kupinga kila jambo linalofanywa na...
Yaani television ya taifa mmekosa kabisa ubunifu mpaka taarifa ya habari mnaweka jengo la jubilee towers ambalo lina ubalozi wa korea kusini na kuifanya ile bendera ionekane kana kwamba mnai...
Kuna siku nilimuuliza mwanafunzi wa chuo kikuu kimoja kama anajua mikoa mipya iliyoanzishwa nchini alibaki anashangaa.
Nikamuuliza kama anajua makao makuu ya baadhi ya mikoa kama vile Manyara...
Jamaa wameweka msingi wa nguvu wa zege ila hizo gorofa za juu ndio hawataki ujinga wala gharama. Ni ubao, sponji na maboksi. Hawataki tofali, hawataki nondo hawataki kabisa kusikia habari ya zege...
Kutokana na msongamano mkubwa uliopo soko kuu la kariakoo ; Toka Juma tatu umati mkubwa karikooo ; unaitaji uangalizi wa hali ya juu; Jana mama aliyebeba mtoto alikosa kichanga hicho ; ingawa...
Imezoeleka serikali chini ya wizara yake ya TAMISEMI kutoa vibali vya uhamisho kila January/July ya kila mwaka.
Cha kusikitisha toka uongozi Mpya wa awamu ya tano uingie madarakani hamna uhamisho...
Watu 66 na pikipiki 34 wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuvamia mgodi wa North Mara, unaomilikiwa na Acacia, DC Glorious Luoga anaongea na waandishi wa habari.
figganigga Said; DC Luoga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.