Sisi tunatoa fedha kwenye mzunguko. Tunakusanya kodi kwa TZS, tunazibadili kuwa $ ili kumlipa Mkandarasi. Sasa tumeanza kuchukua mikopo ya kibiashara kwa riba kubwa (credit suisse alone...
Mbwa anayetafutwa ni mbwa special aliyetolewa na Serikali ya Marekani na ana uwezo wa kunusa pembe za tembo kwenye makontena bandarini. Naona kama hajaonekana, kamanda sirro IGP ni bye bye
SINGIDA Ajali ya barabarani eneo la KIZAGA wilayani IRAMBA inasadikiwa watu wawili wamepoteza maisha baada ya Lori kugonga kwa nyuma Lori jingine na gari dogo aina ya hiace iliyokuwa imesimama...
Namshukuru Mungu, kwa kila kheri anifanyiayo.....nimeanza kufanikisha kilichonileta huku ili nirudi Home (TZ) Kwa wakati!!
We are CHANGING THE PEOPLE'S MIND ABOUT ENVIRONMENT AND CLIMATE!!!
Ila...
Wale walioenda kwa Makonda kudai haki zao kwamba wametelekezewa watoto wameshapatiwa suluhisho??
Na wanaume walioitwa na wakagoma wamepewa adhabu gani??
Mikwara mbuzii
Nimekaa kwenye grocery enzi hizo ndo zinaingia namuona mzee wangu ninaempenda mzee mrema kawaka kweli kapanic kweli kweli pembeni yupo kijana mtanashati na mic yake anaconect maswali kutoka kwa...
Yahusu lile agizo la muda wa usafi siku ya jumamosi, kwa masikitiko makubwa mkuu wa mikoa alitengua agizo la kufungua maduka na sehemu za biashara saa nne asubuhi, lakini cha kushangaza agizo...
Habari wakuu ,naomba Msaada wenu kwa anaye jua. Nina mdogo wangu kapangiwa hospital ya rufaa Manyara kupitia hizi ajira ambazo zilitolewa na Wizara ya Afya, tofauti na zile za Tamisemi.
Anaomba...
Pepo hawajaifikia baadhi yao ila wako kwenye blissful state... Hii ni kwa majibu wa wale wasioamini katika Mungu mmoja... Kwa wale waaminio katika dini ya Mungu mmoja marehemu wote wako kuzimu...
Za jioni ndugu zanguni
Misikitini makanisani ndiyo sehemu kulikojaa watu wanafiki wa kiwango cha lami ukitaka kuamini hivi ulishawahi hawa makahaba walevi wacheza kamari wavuta bangi nk ndiyo hawa...
Kilimanjaro. Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na Usalama Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amemtaka Kamanda wa Polisi mkoani humo kumchukulia hatua za kinidhamu Mkuu wa Kituo cha Polisi Mwanga na...
Jana majira ya saa tatu hadi nne nikiwa napata msosi bar moja hapa Sinza Mori lilikuja kundi kubwa la vijana wa kiume (kama 14 hivi) mashoga na kukaa katika ile bar.
Nilistaajabu sana kwani...
Mara nyingi nimekuwa nikijiuliza kwanini M/MUNGU ametumba kwa fikra pana yaani kufikiri na kufanya mambo HASI na CHANYA wakati alikuwa na uwezo wa kutuumbaa kwa fikra CHANYA pekee kitu ambacho...
Watu watatu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wamefariki dunia baada ya kupigwa kwa risasi na polisi wakati wakijaribu kutoroka katika bonde la Malangi Babati.
Kamanda wa polisi mkoa wa Manyara...
Tundu Lissu aliposema 'tuna Rais wa ajabu kuwahi kutokea' kuna watu hawakumuelewa.
Lakini kwa bahati nzuri, JPM mwenyewe anaendelea kuwaaibisha wanaomtetea kila siku.
Kauli za kuhamasisha askari...
Aisee hili sasa balaaa kwa siku tatu mfululizo kumekuwa na Matukio ya Polisi kujiua kwa Kujipiga risasi...!! Mungu akaonekane maana sijui ndo laana au.
----
Ofisa wa Polisi ambaye ni mkufunzi...
Kwa miaka miwili hii Nssf Kumekua na ubabaishaji ambao haujawahi kutokea katika taasisi yoyote tangu uhuru.
Ubabaishaji huu kwenye malipo ya mafao umekua unafanyika kana kwamba hakuna serikali...
Za jioni wanajukwaa narudi tena na ujumbe mwingine siku hizi kumeibuka
Wimbi kubwa la watu kulalamikia wengine na chanzo ni hao walalamikiwa mfano mtu anafundisha
Mambo ya ujasiliamali watu...
Yep! Hicho ndicho kichwa cha habari kwenye ippmedia.com cha habari ifuatayo:
Binti apachikwa mimba na mwenziye
2007-10-11 16:36:12
Na Janeth Kiure, Kibaha
Mwanafunzi wa kidato cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.