Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 284,235
- 738,452
Pepo hawajaifikia baadhi yao ila wako kwenye blissful state... Hii ni kwa majibu wa wale wasioamini katika Mungu mmoja... Kwa wale waaminio katika dini ya Mungu mmoja marehemu wote wako kuzimu wakiitwa wafu waliolala wakisubiri kiama
Kuzimu ni roho sio mwili, miili ya waliokufa iko makaburini
Hivyo basi usijenge picha yako ama ya mwingine katika umauti wake akiwa akhera/kuzimu ama akiwa paradiso/peponi
Viendavyo huko ni roho na si huu mwili uharibikao