Hivi wale wanawake walioenda kwa makonda wameshapatiwa suLuhisho ?? Na wanaume uliogoma kwenda je?

sosssy

JF-Expert Member
Nov 17, 2017
668
534
Wale walioenda kwa Makonda kudai haki zao kwamba wametelekezewa watoto wameshapatiwa suluhisho??
Na wanaume walioitwa na wakagoma wamepewa adhabu gani??

Mikwara mbuzii
 
usafi jumamos pia nayo hakuna sa hivi yani ni vitu vyakupita tu daily
 
Back
Top Bottom