MUBIKU
JF-Expert Member
- Oct 24, 2014
- 284
- 388
Mara nyingi nimekuwa nikijiuliza kwanini M/MUNGU ametumba kwa fikra pana yaani kufikiri na kufanya mambo HASI na CHANYA wakati alikuwa na uwezo wa kutuumbaa kwa fikra CHANYA pekee kitu ambacho kingepelekea kufanya mambo yenye manufaa na mafaniko kwetu pia na ya kumpendeza angali dhambi na maasi yesingekuwepo.
Jibu linalonijia kiujumla ni jambo la kushukuru sana kwa jinsi mfumo wetu wa fikra ulivyoumbwa, kwani lengo hasa (NADHANI) lilikuwa ni kutufanya tusiwe wenye kipimo(LIMITED THINK) na bali tuwe na upeo mpana na wa mfano wake ili tuweze kufikia malengo na mahitaj yetu.
SOMO:-
Tuna changamoto kubwa ya kuwa na mitazamo chanya kama tutaweza, kuongeza ufahamu wetu kwa kupitia kujifunza(kusoma), maana akili zetu zimeumbwa kwa kukinzana (UNCONCIOUS + CONCIOUS MINDS) na kimaumbile akili imekuwa ikipenda zaidi au kutawaliwa na mawazo HASI na MAOVU.
Nakutakia mpambano mwema wa kuelekea Fikra Chanya.