Kubadilishiwa kituo cha kazi.

Kubadilishiwa kituo cha kazi.

BILGERT

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2015
Posts
6,532
Reaction score
11,029
Habari wakuu ,naomba Msaada wenu kwa anaye jua. Nina mdogo wangu kapangiwa hospital ya rufaa Manyara kupitia hizi ajira ambazo zilitolewa na Wizara ya Afya, tofauti na zile za Tamisemi.

Anaomba mtu wa kubadilishana naye, yeye anataka mikoa ya Dodoma, Iringa ama Njombe. Kada ni MAABARA(Diploma)

Ambaye yuko interested tuwasiliane PM. Au kama kuna mbinu ya kumsaidia, naomba tuwasiliane.

Natanguliza shukrani.
 
Mwambie akaripoti haraka inavyowezekana. Ajira ni ngumu vibaya. Wanangu 6 wote nnao hapa tunagombania simu yenye bando hawana jambo
Wanangoja bi mdaga aivishe wajaze tumbo

Hawajali samaki au nyama za utumbo!!
Mmoja kaomba kazi ya mgambo
Akanyimwa kisa wanalindwa na mitambo!!
 
Sawa
Mimi nina shemeji yangu kupangiwa zile za TAMISEMI

Kupangiwa Rukwa, ila yeye anataka Iringa ambapo ndipo kuliko na familia (mme).
 
Mwambie akaripoti haraka inavyowezekana. Ajira ni ngumu vibaya. Wanangu 6 wote nnao hapa tunagombania simu yenye bando hawana jambo
Wanangoja bi mdaga aivishe wajaze tumbo

Hawajali samaki au nyama za utumbo!!
Mmoja kaomba kazi ya mgambo
Akanyimwa kisa wanalindwa na mitambo!!
Aisee,
 
Hapo babati aripot kwanza ni sehemu nzur sana atapata wa kubadilishana nae trust me
 
Back
Top Bottom