Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 8,569
- 12,308
Za jioni wanajukwaa narudi tena na ujumbe mwingine siku hizi kumeibuka
Wimbi kubwa la watu kulalamikia wengine na chanzo ni hao walalamikiwa mfano mtu anafundisha
Mambo ya ujasiliamali watu wanaambiwa faida tu maneno matamu ila hasara na changamoto
Hamuwaambii nao wanaingia kichwa kichwa anakuta mambo tofauti na alivyofundishwa anaanza kulia tu
Na kulaani watu hii utaikuta kwenye
Ndoa vyuoni kwenye biashara
Watu wakiambiwa changamoto na faida Za kile mnachotaka afanye hata akikutana na misukosuko hawezi kukata tamaa wala kushangaa make
Aliandaliwa kuyakabili mazingira yote leo hii wasomi wetu wanaandaliwa kutegemea kuajiriwa tu ajira hakuna
Wanalia tu kilio kimoja ila kila mtu kwa style yake