JINSI YA KUFAHAMU PASSWORD YA NAFSI/ MOYO WA MPENZI WAKO
Baadhi ya wachawi wana dawa ambazo zinaweza kukufanya kujua anachokiwaza mpenzi wako kupitia ndoto au maono usiku.
Katika hali ya...
Kwa mara kadhaa nimekuwa nikiingia humu na majukwaa mengine ya watsap groups, Instagram, na blogs mbali mbali
Kinachonishangaza sana ni mada za udaku zinazojadiliwa kila kukicha, kazi zitafanyika...
Heshima kwenu wanabodi
Kila mmoja wetu jua kuna siku moja atakufa, lakini bahati mbaya kabisa hakuna hata mmoja kati yetu anayeamini kabisa kabisa kwamba kuna siku atakufa na kufukiwa chini ,kama...
Wanasema mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, tangu serikali ya awamu ya tano kuingia madarakani kumekua na mkanganyiko mkubwa kuhusu sera na utekelezaji wa yale wanayoyatamka, sasa tukiwa...
Jifunze kushikilia vitu, watu au hata maslahi unayoyapenda kwa umakini zaidi sababu sio kuwa unavipoteza kwa kukosa umakini hapana umakini unao sana ila hukumbuki ulianzia wapi umakini wako kabla...
Kiukweli startimes punguzeni bei ya vifurushi maana tunalipia ghali mnoo kifurushi cha nyota ni 10000 kwa mwez kwa wateja wa dish hii sio fair
Halafu channel zenyewe hata 20 hazifiki
I like this msg.
Bwana mmoja alimuona nyoka akiungua na moto kiasi afe, akaamua aokoe maisha yake kwa kumtoa. Alipofanya hivyo aling'atwa na yule nyoka na kumuachia maumivu makali...
Leo nimeshuhudia kisa cha ajabu sana mmangati kamleta mtoto wake mgonjwa hospital mchanga matibabu yakawa makubwa gharama akaambiwa uza mbuzi upate hela ya kumtibu mtoto yule mmangati akakataa...
Je nyumbani kwako una mbwakoko? yaani mbwa mzee mgonjwa na waliozaliana bila mpangilio na unapata taabu sana kuwatunza kuwalisha? je una mbwa asiyekuwa na adabu anang'ata watoto hovyo anakula...
Mfungwa Mrembo zaidi kwenye Gereza la Lang'ata Kenya Ruth Wanjiku (25) amehukumiwa kifo baada ya kupatikana na hatia ya kumuua Mpenzi wake aitwae Farid, Ruth aliekua akisomea Biashara kwenye Chuo...
Halmashauri yangu ya kichwa katika ndoto ya jana usiku imeninongo'noza kwamba huenda kukatokea mabadiliko tena katika baraza la mawaziri na mabadiliko katika idara fulani sasa wajuvi wa ndoto...
Kufuatia matengenezo ya barabara ya pete pale Ubungo mataa kuna taarifa kuwa kuanzia leo saa 5 usiku mpaka Jumatatu saa 11 alfajiri matumizi ya barabara ya Mandela yatabadilika.
Barabara ya...
Naomba kufahamu kama kuna mabasi ambayo yanaanzia safari zake Dar hadi Songea moja kwa moja via Lindi.
Naomba kuyafahamu kwa majina kama yapo.
Yapi ni mazuri na nauli zake zimekaa vipi?
Je...
alhmis na ijumaa nilikuwa dom town nikikatiza mitaa...ilipofika saa mja jioni jamaa yangu akaniambia kuwa huu ni muda wa dada zetu kuanza kazi
kwa kweli hali ni mbaya.. watu wapo busy na...
Wandugu habari,
Juzi nilileta taarifa kuhusiana na mwanajeshi wa jwtZ kupewa kichapo kikali na vijana wa bodaboda punde baada ya kumdhulumu yule kijana 1500 tu ambayo ilikuwa ni kwaajili ya...
Imetokea China.
Binti mwenye umri wa miaka 21 aliyenunua nyoka mtandaoni kwa nia ya 'kumyeyusha' na kutengeneza wine ya nyoka, ameumwa na nyoka huyo hadi kufa.
Hii ilikuja baada ya binti huyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.