Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 8,583
- 12,343
Za jioni ndugu zanguni
Misikitini makanisani ndiyo sehemu kulikojaa watu wanafiki wa kiwango cha lami ukitaka kuamini hivi ulishawahi hawa makahaba walevi wacheza kamari wavuta bangi nk ndiyo hawa hawa tulio kanisani misikitini sasa angalia matendo wawapo kwenye nyumba za ibada na wawapo huku uraiani matendo yetu ni
Sawa na mbwa mbwa awapo mbali na makazi yao huwa ni mpole sana tena
Muoga mnyenyekevu ila mbwa huyo akifika maeneo yao hugeuka uoga upole hugeuka gadhabu hasira ya kung'ata na kujeruhi ndiyo maisha yetu yalivyo