Waziri Lugola: Ikitokea dereva yeyote amefikishwa Mahakamani bila ya kulazwa mahabusu, aliyemfikisha atawajibika yeye

1974hrs

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
741
535
Waziri Kangi Lugola ametoa tahadhari kwa askari watakaoshindwa kuwalaza mahabusu madereva watakaosababisha ajali.

"Ikitokea dereva yoyote amefikishwa Mahakamani bila ya kulazwa mahabusu huyo aliyekufikisha atawajibika yeye.

--
♪Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote♬
 
Ee mungu simamisha dunia yako nishuke tanzania nipande ata kimondo
 
Hivi amri za nani awekwe mahabusu zinatolewa na waziri? Polisi wanapokwa mamlaka yao, ndio maana alipuuzwazna sirro.
 
Huyu waziri afanye kazi sasa tumechoka mipasho atatumbuliwa kabla hajaanza kazi
 
Waziri Kangi Lugola ametoa tahadhari kwa askari watakaoshindwa kuwalaza mahabusu madereva watakaosababisha ajali.

"Ikitokea dereva yoyote amefikishwa Mahakamani bila ya kulazwa mahabusu huyo aliyekufikisha atawajibika yeye.

--
♪Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote♬
Mantiki yake ni nini?
 
Wazee tujiandae kisaikolojia...kifuatacho ni kulala mahabusu kwa sanaaaa.
Kina mama naomba muwe mnaelewa tukirudi nyumbani kutoka mahabusu baada ya siku 2.
Natanguliza shukrani za dhati kwa Mh. Waziri. Hakika utaokoa ndoa nyingi katika hili.
 
Hii wiki mzee Kangi kakamata kurasa za mbele namuona mzee Jiwe anacheki aende kuzindua nini awe # 1 kwenye kurasa za mbele kwa sasa Bashi Boy kapigwa K.O na wazee kila akifurukuta habari inapotea
 
Back
Top Bottom