Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jana nimemsikia mzee akilimali akimshtumu mtangazaj wa Clouds media bwana Shafih Dauda kuwa anafanya mawasiliano na Marcio Maximo ili asije kuifundisha YANGA,nilimsikia yule mzee akisema Shafih...
1 Reactions
30 Replies
10K Views
Mama mkwe wangu alilazwa Muhimbili kwa wiki moja, lakini jana nililazimika kumtoa kutokana na kile nilichokishuhudia pale. Pamoja na vituko vingi tu tulivyoviona kutoka kwa manesi wa ward ya...
20 Reactions
195 Replies
18K Views
1. Mateja-Kutokana na Matumizi ya Madawa ya kulevya 2. Ombaomba-Katika maeneo ya kati ya Jiji 3. Vikundi vya kihalifu kama Panya Road, Mbwa Mwitu n.k 4. Ujambazi-hususani katika Mabenki 5...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Huu ni ujinga, haiwezekani utapeli wote wa mitandao unafanyika kupitia line zenu kila siku, sasa kama nyinyi sio majambazi mnaoshirikiana kwa pamoja, naomba mnisaidia kupeleka taarifa za mtu...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Kama ikitokea ukaamua kukamata Mwananchi mmoja mmoja hapa bongo! utagundua wanamakosa mengi sana ambayo mengine yamesababishwa na sheria ngumu tulizonazo! wananchi wengi wanamiliki Ardhi kinyume...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Salama wana jukwaa? Lengo la kuanzisha uzi huu ni hali ninayoiona kwa asilimia kubwa ni ongezeko la watoto wasiokuwa na malezi sahihi siwezi kuwaita watoto wa mitaani Ili hali wana wazazi...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Tangu nimekuja huku mjini mara kwa mara hua nikikutana na sherehe za kiislam hua mara nyingi wanaume ndo naona wanapika tena watu wazima kabisa. Na sio hivyo tuu hivi ule ubwabwa huwa wanaweka...
3 Reactions
48 Replies
4K Views
Habari waungwana humu ndani, naomba mwenye taarifa ilipo Mexico Bar hapo sinza tafadhari naomba nijulishwe location na urahisi wa kufika, Karibuni kwa msaada wenu.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA) kimepeleka panya buku 22 wenye uwezo wa kutambua bakteria wanaosababisha Kifua Kikuu, (TB) katika nchi za Msumbiji na Ethiopia. Hayo yameelezwa leo Jumamosi...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana jamii Kwanza naomba niombe radhi kwa jamii itakayohisi au kuona imeguswa kwa namna moja au nyingine lakini kuna mambo lazima yasemwe ili haki za wengine nazi zilindwe Ama baada...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habari ya wakati huu, Naomba kujua ni basi gani zikitoka mwanza zinaweza kufika Dar moja kwa moja bila kulala Morogoro maana nimeambiwa kwamba gari nyingi zinalala Morogoro. Lakini pia...
2 Reactions
173 Replies
38K Views
Wakongwe habari... Kama swali linavyoonekana hapo juu ni kwamba je? ninaweza kucheza lnternational lottery programs kama vile Mega billionaire ya kule Marekani na zingine za nchi nyingine?? Je...
0 Reactions
2 Replies
911 Views
Walisema wahenga, "Dead men don't talk" yaani "wafu hawaongei". Muogope sana mtu anayekunyamazisha, usitoe maoni au kukosoa. Kumbuka wafu hawaongei, ukinyamazishwa usiongee chochote...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa tetemeko lililopita muda huu aiseee linatisha, nyumba na kitanda kimetikisika na nikaikumbuka Sala ya toba. Japo halikua kubwa ila linatisha
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Maembe yaliyoiva yanavirutubisho vyote muhimu kuliko yale ambayo hayajaiva. Toka zamani kuna baadhi ya wanyama wamekuwa na tabia ya kuiba maembe ambayo yako mitini na kuyala ilihali ni mabichi na...
3 Reactions
31 Replies
4K Views
Na John Walter Babati. Watu watatu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wamefariki dunia baada ya kupigwa kwa risasi na polisi wakati wakijaribu kutoroka katika bonde la Malangi Babati. Kamanda wa...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
  • Closed
Benki ya NMB imeingia kwenye kashfa kubwa ya kuajiri wakimbizi watatu kutoka nchi ya Burundi, wanaoishi na kufanya kazi kinyume na sheria. Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari, wakimbizi hao...
3 Reactions
48 Replies
5K Views
Tunaipoteza asili kwa kasi kubwa na tunashindwa kuukomboa wakati kwakuwa wakati hauna rivasi kama nyoka... Kama bodaboda.,. Hatuna tena yale matunda yaliyoivia mtini na kudondoka yenyewe. Hatuna...
32 Reactions
98 Replies
11K Views
Back
Top Bottom