maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,345
- 15,852
Kwa miaka miwili hii Nssf Kumekua na ubabaishaji ambao haujawahi kutokea katika taasisi yoyote tangu uhuru.
Ubabaishaji huu kwenye malipo ya mafao umekua unafanyika kana kwamba hakuna serikali wala uongozi kwenye taasisi hii kubwa na iliyokua na sifa nzuri.
Yaani mtu unasubiri mafao mwaka mzima ukirudi tarehe uliyopangiwa unaandikiwa kurudi tarehe nyingine ya mwakani yaani bila aibu wala maelezo mtu anakuandikia urudi tena baada ya miezi kumi.
Hivi huyu mkurugenzi mkuu mpya anafanya nini hata tusione hata dalili zozote za mabadiliko?
Mbona haendani na kasi ya wateule wa JPM ambao ndani ya wiki tu au wiki mbili mtu unaanza kuona mabadiliko?
Tulitegemea nssf mpaka muda huu wawe wameanza kwa kasi tuone matokeo chanya kwenye haya mambo ya kushughulikia pesa za wanachama hasa baada ya matamko ya hovyo ya kuzuia mafao kwa wote waliofungua kuanzia April wakati hata sheria mpya hamjaanza kuzitumia, mmezuia kwanini?
DG nawewe bado unabariki huu ukandamizaji ili nawewe tukulaani?