Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Taj Mahal (Kiajemi تاج محل‎ - tāj-maḥal, taji la mahali) ni jengo zuri la kaburi lenye umbo la msikiti mjini Agra (Uhindi). Mara nyingi huhesabiwa kati ya majengo mazuri duniani. Taj Mahal...
3 Reactions
5 Replies
4K Views
Salama wakuu. Katika pita pita zangu leo hii nikakutana na nchi zilizokua zinatawaliwa na mataifa ya ulaya chakushangaza sasa nchi hizo zipo vizuri sana kimaendeleo kwa kila nyanja ya binadamu...
0 Reactions
34 Replies
2K Views
Nimebaini hapa kwetu Tanzania, kila anayetaka kujenga jengo liwe dogo ama kubwa, anatumia miundo ya ujenzi inayotumika nje. Hatuna miundo yetu tunayoweza kuringia kama urithi wa utamaduni wetu wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Taj Mahal, ni jengo zuri la kaburi lenye umbo la msikiti, lililoko mjini Agra (India). Mara nyingi huhesabiwa kati ya majengo mazuri duniani. Taj Mahal...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Gggg
0 Reactions
0 Replies
711 Views
Igweeeee. Nimeona clip ikimuonesha mume wa yule mama wa Kahama mwenye kiwanda cha mchele. Akilalamika Polisi kutoka Dar hadi Kahama na wameenda kumkamata na kumweka lockup lakini hawasemi kosa...
3 Reactions
20 Replies
5K Views
Utitembea nchi za wenzetu majiji makubwa utakuta vifaa vya kuhifadhi uchafu vinakuelekeza hapa weka uchafu wa karatasi hapa weka uchafu wa plastic na hapa weka mabaki ya chakula n.k Lakini kwa...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Siyo kila mtu anazo sifa za kushika silaha. Na siyo kila mtu anazo sababu za kushika silaha. Kamwe usiruhusu wanasiasa kuinajisi kada ya jeshi la polisi kwa kutafuta umaarufu kwa kushika shika...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwanza kuna pesa kamenitembelea hela nyingi kwangu nahisi kuchanganyikiwa sasa kabla sijachanganyikiwa nahitaji kuzitupia mahali nijipange well bank hapana maana watazidokoa siku nikiwa na mipango...
3 Reactions
35 Replies
8K Views
Ziara Ya Kikazi Ya DC @ally_hapi Ya Siku 20 Kukagua Miradi Yote Ya Maendeleo Na Kusikiliza Kero Za Wananchi Kata Zote Za Kinondoni. #TunawafuataMlipo
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa Miezi Kadhaa Nimekuwa Nikifuatilia Kujua Ni Kiasi Gani Cha Pesa Kutoka Dar Mpaka Seoul South.Korea Sasa Nimefanikiwa kujuwa. Kutoka Dar Kwenda Seoul Ni Million Mbili Na Kidogo Hv Za...
3 Reactions
30 Replies
8K Views
Habari zenu wapendwa katika bwana..!! Asalam Alekh!! Kwanza ningependa kutanguliza shukrani zangu kwa wana JF kuwa pamoja muda huu... sina mengi ya kusema ila jambo kubwa nalotaka kuwaeleza ni juu...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wanabodi Mwandishi wa Habari wa ITV, Ufoo Saro, ametoka rasmi hospital na leo amefanya Ibada ya Shukrani katika kanisa la KKKT Kibamba ambapo amemshukuru Mungu kwa yote na kutoa shukrani kwa wote...
5 Reactions
73 Replies
11K Views
Najitahidi sana kuangalia taarifa za habari hasa kupitia Azam au Itv . kinachonishangaza ni kwamba taarifa hizi za sikuizi zimejaa vitisho kila wazid ama kiongozi anatisha. naibu wazir wa madini...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
MACHI Mosi, mwaka jana, Serikali ilianziosha vita dhidi ya pombe zilizokuwa zikifungashwa katika pakiti za plastiki, maarufu kwa jina la ‘viroba’ jambo hili liliungwa mkono na idadi kubwa ya...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Kuna mwana jamii mmoja amepost barua ya 2014 inayoonyesha zuio la ambulance kufanya kaz mpk tairi zbadilishwe; nahis barua yenyewe katumiwa then hajaikagua vzuri na kusoma ni ya lini; but kwa vile...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Moja kwa moja kwenye mada. Wadau sasa naingia mwaka wa 6 kazini bila daraja au cheo kipyaza . Taratibu za utumishi nilitakiwa nipande mwaka 2016 ila uhakiki ukaingilia kati hadi 2017 miaka 2...
9 Reactions
111 Replies
11K Views
Askofu Martin Gwila anatuhumiwa kufanya utapeli kwa watu mbali mbali nchini ikiwemo spika wa bunge la jamhuri na wakandarasi wengi. Habari za utapeli wake zilianza kuripotiwa na jeshi la polisi...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Kumekuwa na kero kubwa sana pale, mfano mtu unanunua LUKU kupitia mtandao wa simu, unaanza kufanya mwamala kuanzia hatua ya kwanza hadi ya mwisho na kupata ujumbe kama 'mwamala wako unashughiliwa...
0 Reactions
1 Replies
787 Views
Kama uzi unavyojieleza, naomba maelezo ya kutosha kuhusu Ouija board,nimedokezwa tu Kuwa inafanya communication na spirit ya Watu waliokufa.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom