Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

From kilingeni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mmoja wa wazazi anapofariki endapo alikuwa ni mwanachama wa mfuko wa Bima mahali pake pa kazi, basi pamoja na malipo mengine kama mirathi na rambirambi, yapo malipo mengine muhimu. Kwa uelewa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Angalau hata shilingi mia tano (500) kwa gari ndogo na elfu moja (1000) kwa makubwa Hii itasaidia kuongeza pato,kwani kila anayepita pale anaona wanyama. Au mnasemaje wadau?
1 Reactions
50 Replies
5K Views
Mbunge wa Ubungo Said Kubenea anaongea na Waandishi wa habari muda huu. Baada ya Mahakama ya Afrika Mashariki kusikiliza shauri la kesi iliyowasilishwa na kampuni ya MwanaHalisi halisi tarehe...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Nimekuwa nikijiuliza kuwa endapo mifuko yote itaunganishwa na kubakia mifuko miwili tu, je nini hatma ya waajiriwa wa zamani katika mifuko itakayounganishwa? Ajira zao zitaunganishwa au ndio...
2 Reactions
38 Replies
5K Views
MAMLAKA ya udhibiti usafiri wa nchi kavu na majini (SUMATRA),mkoani Pwani ,imewaasa wamiliki wa mabasi madogo ya abiria (daladala) yanayofanya safari zake Mbezi -Kibaha kuacha kupandisha nauli...
0 Reactions
29 Replies
20K Views
Tangu saa moja na nusu usiku huu, hadi muda huu nikiwa natokea Tabata mataa, sijavuka Tazara, na sasa inaingia saa nne hii, tuoneeni huruma jamani, kama flyover imekamilika ifunguliwe jamani...
5 Reactions
51 Replies
6K Views
Namba ya bahati ni ile inayokokotolewa kutokana na jina lako na la mama yako na mwishiwe katika mahebu hayo hupatikana namba inayoaminika kua ni namba ya bahati katika maisha yako Namba hiyo ya...
0 Reactions
10 Replies
11K Views
Simon Cowell says he hasn't used his phone for 10 months: It has 'absolutely made me happier' CATHERINE THORBECKE,Good Morning America Mon, Jun 4 6:18 PM GMT+3 He may be one of the busiest men...
0 Reactions
1 Replies
671 Views
Nashindwa kuelewa hii michezo ya tatu mzuka pesa wanazotangaza unashinda mfano juzi mil 300 kwenye zile pesa kuna; 1. Makato ya kodi au hamna 2. Kama yapo mbna hawatangazi Anaejua anijuze
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Naomba kwa ambae amewahi kushinda au kuambiwa kashinda anatumiwa SMS kabla au ana pigiwa simu moja kwa moja Hii hela iliyotajwa hapa ya kutuma ni ndodo sana hainishindi ila siko tayari kutapeliwa...
0 Reactions
44 Replies
7K Views
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), limeunda tume maalumu kwa ajili ya kutafuta suluhisho la kudumu la mgogoro kati ya Jimbo la Mufindi na Dayosisi ya Kusini ya kanisa hilo. Msimamo...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Watu wenye tabia za kuweka vyombo vya udongo kabatini eti wanamtuzia mgeni ni ujinga mkubwa sana. Unakuta baba mwenye nyumba analia kwenye sahani ya plastic halafu kabatini kumejaa sahani za...
17 Reactions
52 Replies
8K Views
June 25, 2018 JESHI la Polisi mkoani Ruvuma, limewakamata watu wanaodhaniwa kumuua kwa kumnyoga kwa kumvunja shingo mtoto wa jamii ya kifugaji aliyetambulika kwa jina la Chanya Rugwashi (12)...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Serikali ya mkoa wa Songwe inatarajia kuwapeleka watumishi wake katika kambi ya jeshi ya Itaka wilayani mbozi ili kuwapatia mafunzo ya ukakamavu, lengo ni kudhibiti uzembe kwa vitendo na badala...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Nimeiona habari hii katika gazeti la mwananchi online. Hii ni funzo kwa madereva na hata kwa askari wadhalimu ambao aghalabu hawajui wajibu wao barabarani ni upi...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Haya ni baadhi ya mambo ambayo ni haki ya mtuhumiwa, mwuulize kiko wapo kitambulisho chake? Ni haki yako. Askari akikukamata akuonyeshe kitambulisho chenye muhuri wa mahakama hata kama anasema...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Ni jambo la kushangaza kwa anayejiita mwanasheria ku-Retweet na kusambaza vitu vya kijinga kama hivi. Automatically namfananisha na mwandishi wa hiyo tweet , mzushi Mange Kimambi ! Rais wa TLS...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Hii kauli yakusema vyuma vimekaza ni aina Fulani ya uchoyo na ubinafsi!hata yule aliyekuwa analipwa 1milioni na hadi Leo mshahara wake ni ule ule na yeye utasikia vyuma vimekaza!basi njoeni mje...
0 Reactions
9 Replies
876 Views
Ni mirefu inafunika viganja, inaonekana kama oversize, na hii ni karibia suti nyingi anazoonekana nazo President hadharani. Tuna designers wazuri hapa Tanzania wawatumie hao kama yule kijana...
8 Reactions
113 Replies
25K Views
Back
Top Bottom