maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,410
- 6,067
Nimekaa kwenye grocery enzi hizo ndo zinaingia namuona mzee wangu ninaempenda mzee mrema kawaka kweli kapanic kweli kweli pembeni yupo kijana mtanashati na mic yake anaconect maswali kutoka kwa waulizaji kwenda kwa mzee wangu...nikasema nn hiki? Lakini kipindi kile kilipendwa..pasco alipendwa na jina la kitimotoz likaanzia hapo(kwa walaji)
Naamini kile kipindi hakijawahi kuwa na mfano wake tena na haitapata kutokea labda wakilete hao hao walichokianzisha miaka hiyo..
Nataka kujua je kitarudi?
Kuna namna ya kufanya kirudi?
Wazo lilitoka wapi?
Big up Pasco
Big up ITV
Naamini kile kipindi hakijawahi kuwa na mfano wake tena na haitapata kutokea labda wakilete hao hao walichokianzisha miaka hiyo..
Nataka kujua je kitarudi?
Kuna namna ya kufanya kirudi?
Wazo lilitoka wapi?
Big up Pasco
Big up ITV