Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Zamani ilikua kila ikifika december tukienda kwa bibi huwa ni raha bin amani maana sio kwa hadithi zile,mtasimuliwa story moja itakuja nyingine,nakumbuka enzi zile wakati dada wa kazi akinilisha...
0 Reactions
1 Replies
881 Views
Huu ni ushauri wangu tu. Hasa kwa vijana. Ni mara 100 ukanunua mashamba /maeneo kuliko kukimbilia kujenga nyumba ya kuishi. Ukinunua maeneo / mashamba , unakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya...
14 Reactions
72 Replies
14K Views
Nimekuwa mshamba wa YouTube haswa video. Nikiangalia video nashindwa kufanya ijae kwenye screen ya simu. Mfano naangalia ikiwa nusu screen huku maandishi ya chini yakisoma like, download, save...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Zoezi la usajili wa watahiniwa wa mitihani ya kidato cha nne kwa watahiniwa waliopo shuleni na wa kujitegemea kwa kawaida huanza toka Januari mosi kila mwaka baada vifaa vya usajili kutolewa...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Hivi vikanisa vya waumini 4 wanafunga spika kubwa za disco na kukesha kwa faida ya nani?
15 Reactions
76 Replies
8K Views
UKISTAAJABU ya Musa utayashuhudia ya Firauni, utamaduni wa watu wa magharibi mwa Uganda ni wa ajabu sana. Wakazi wa kijiji cha Nakapyata, wilayani Buyende nchini Uganda wamefanya sherehe ambapo...
1 Reactions
33 Replies
6K Views
Kipi kimemsibu Prof. Mlacha aliyekuwa DVC Udom Habari za hapa! Huyu Prof. Mlacha alikuwa ni DVC-Finance & Planning ktk Chuo kikuu Udom.... Huyu mzee anamiliki Shule ya Sekondari huko kwao Same-...
1 Reactions
26 Replies
10K Views
Wakuu nawashukuru wote kwa msaada wenu wa hali na mali,nilifanikiwa kupata laki na 85 humu na pia kuna inservice mmoja hapa chuo akaniazima laki moja na nusu,nililipa hizo na hela iliobaki...
2 Reactions
115 Replies
11K Views
Miaka ya karibuni tumekuwa tukiwapa mbwa chakula cha watoto. Hili ni kosa kubwa mno labda kama unathamini mbwa wako zaidi kuliko watoto. Nchi maskini kama Tz tumeacha vipaumbele vya kujenga uchumi...
1 Reactions
1 Replies
972 Views
Nimeshangaa sana kuona polisi wanakula bata milimani city. Kwa kawaida sidhani kama utawala huu ungeruhusu polisi wale bata kwa fedha za umma. Je polisi wanaruhusiwa kuandaliwa shehere na...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Kwa namna mambo yanavyoendelea hususani kweli hili suala la CAG na SPIKA nimekuwa nikijiuliza sana hivi wazee wetu wastaafu ambao mara nyingi wamekuwa wakishauri sana kwenye nyakati ngumu za...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Mimi ni mfanyabiashara ninayetimiza vigezo na masharti yote ya urndeshaji ikiwemo kulipa kodi nakadhalika! Adui mkubwa wa biashara yangu ni Bwana afya! I) Akifika ANADAI Clearance certificate ya...
2 Reactions
11 Replies
7K Views
Nitangulize shukrani zangu kwa muumba wa mbingu na nchi pili niiombeee nchi yangu na vyote vilivyomo tatu niiulize serikali mashamba ya mkonge yaliyo achwa kuwa mapori huku baadhi yetu hatuna...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa ambao hamjui maana ya nani alienda Kusoma na nani alienda Shule fuatilieni vizuri hili ' Sakata ' zima la Spika Ndugai na CAG Assad mtayapata majibu yenu ' Kuntu / Sahihi ' kabisa. Naomba...
8 Reactions
28 Replies
5K Views
Leo mapema nilifika kijiwe changu cha kupiga Monde. Punde si punde watu wakaanza kumsikiliza bwana mkubwa "DHAIFU". Kitu cha kushangaza ni kuwa kila mmoja alitoa lake waliopo wa kutukana na...
7 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu Mnajua iko siku mtamkumbuka Pro MJ Assad juu ya ulinzi wa mali yetu ya umma. Mjue kila kinachoibiwa au kuonekana kimepotea ni mali yetu watanzania na sio mali ya mtu mwingine na lazima...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Nana Maganga mkazi wa kijiji cha mwakilezu kata ya mizibaziba wilaya ya nzega mkoani Tabora amewauwa watoto sita kwa kuwa katakata mapanga na kujeruhi...
2 Reactions
37 Replies
7K Views
Si kitu kigeni kabisa miongoni mwetu na hata baadhi yetu tunazo tumezivaa, zinaitwa Pete za bahati.Kiuhalisia si Pete za bahati ni Pete za kishetani ni Pete za maagano ni za kuzimu,ukivaa ile ni...
25 Reactions
156 Replies
63K Views
Nimejaribu kufuatilia hotuba ya jana ya Spika wa Bunge nimetafakari kwa upeo wangu nikajiuliza maswali kadhaa na kujipa majibu mimi mwenyewe yakaishia kwangu kama mtazamo wa kile nilichokisikia...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom