Lex iniusta non est lex. An unjust law is no law at all - St. Augustine.
Niwaambie ukweli, mimi kuna sheria za nchi hii nimeamua sitazifuata wala sitaziheshimu. Na siku wakinikamata nitawaambia...
Wakuu habari,najaribu kuthink out loud kuhusu suala la usalama katika Mabasi ya mwendokasi (UDART)kuanzia vituoni mpaka ndani ya mabasi.
Kama mnavyojua suala la ugaidi hutarget zaidi maeneo yenye...
Kama uliangalia Press Conference ya Speaker Job Ndugai na maswali ya waandishi waliokuwa wanauliza ilionekana bila shaka kuwa press ya Tanzania ni mbovu na ya ovyo. Hivyo basi, kama Bunge letu...
Sheria ya usalama barabarani ya mwaka 1973 haielekezi matumizi ya kofia ngumu kwa abiria wa bodaboda. Huu ndio muda wa serikali kupitisha maboresho ya sheria hii ili kuhakikisha kila abiria...
Tafadhalini tujifunze kutumia lugha nyepesi zisizokuwa na matusi pia ruksa kutumia mfano wa mtu yeyote au picha kwa ajili ya ufafanizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa akili zangu finyu nimejikuta nawaza kuwa huenda kosa kubwa alilolifanya prof wetu, mlinzi wa pesa za umma ndugu CAG ni kutumia uhuru wake ipasavyo kama inavyosema katiba yetu.
Kwa kutumia...
Habari zenu wananchi wenzangu.
Nianze kwa kusema nasikitishwa saana na uongozi Wa Mpira kwa kuto tumia TELEVISION YA TAIFA inayo patikana Karibu ving'amuzi vyote katika maonyesho ya MPIRA HASA...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilayani Chunya Mkoani Mbeya imemhukumu kifungo cha maisha Julius Joseph Isambi(35) Mkazi wa Kitongoji cha Mnazi mmoja Kijiji cha Mawelu kwa kosa la kumbaka mtoto mwenye...
Leo tarehe 13/02/2019 majira ya asubuhi,ameokotwa ktk dampo lililopo ktk shule ya msingi Maanga, iliyopo kata ya Maanga, mtaa wa Maanga B,inaonekana mtoto huyo alizaliwa hospitali mojawapo ya hapa...
Jeshi la polisi mkoani Mbeya linamshikilia mkazi wa kata ya Upendo wilayani Chunya Masanja willy (25) kwa tuhuma za kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka minane Kwangu Bundala ambaye alikuwa...
Akiwa kwenye kipindi chake cha PPRA alikuwa akimhoji bwana Utoh wa ofisi ya Mkaguzi wa hesabu za serikali.
Utoh kama nilivyotegemea kuwa anatetea mkate usiingie matope akaanza mapambio ya sifa...
Na Saidi Mbondela.
Katika Mambo unayoyajua bila shaka ni kwamba Mwanadamu huzaliwa na huishi katika ulimwengu huu kwa kipindi fulani kisha hufa. Hatua za awali za ukuaji wake hua ni tegemezi kwa...
Mzuqa
Wimbi la makundi ya WaSomali ulaya wanaobadilisha dini kutoka Uislam na kumfuata Yesu imewashtua viongozi wa dini na kutoa vitisho vya Kuuawa kwa kuchinjwa popote (Fatwa).
Pia viongozi hao...
Nimepata Mil 2 ghafla sana bila mategemeo.
Ni deni la kitambo sana ndo nimelipwa leo. Sikutegemea kama ningelipwa aisee. Maana ni miaka 6 sasa.
Hela za ghafla ambazo mtu unapata bila matarajio...
Unajua kutengeneza bwawa la maji kwa trillion 10 ni uchizi
Ni uchizi hasa ukijua halina maisha marefu unajiuliza why zitumike pesa zote hizi
Mbunge mmoja alisema huu ni ufisadi mwingine maana leo...
SHIRIKA la Umeme nchini (Tanesco) limeweka mfumo maalumu wa kutumia makundi ya WhatsApp kwa lengo la kutoa na pokea taarifa za nishati ya umeme kwa wateja wao wa kada mbalimbali nchini...
Dar es Salaam. Baraza la Waislam Tanzania (Bakwata), limezindua mpango mpya wa vyeti vya ndoa, usajili wa madrasa na walimu, misikiti na utoaji wa vitambulisho kwa wafungishaji ndoa.
Uzinduzi huo...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imesema bado inaendelea kuyashikilia mabasi 70 ya kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (Udart), ambayo hadi sasa ni zaidi ya miezi 13 tangu yakwame katika Bandari ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.