tzhumoally
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 412
- 156
Wakuu nawashukuru wote kwa msaada wenu wa hali na mali,nilifanikiwa kupata laki na 85 humu na pia kuna inservice mmoja hapa chuo akaniazima laki moja na nusu,nililipa hizo na hela iliobaki watanikata katika hela ya fild(tunapewa laki 2 na 95)nilikosa mitihani miwili ya jumatatu ila jumanne nilipokamilisha nikaanza,hio miwili nitapewa special mwezi wa 9,,mungu sitowasahau wote katika maisha yangu na mungu awajaalie moyo huo huo.