Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,262
- 18,716
Nimeshangaa sana kuona polisi wanakula bata milimani city.
Kwa kawaida sidhani kama utawala huu ungeruhusu polisi wale bata kwa fedha za umma.
Je polisi wanaruhusiwa kuandaliwa shehere na wadau?
Je hao wadau ni kina nani?
Je JWTZ nao watapewa siku yao ya kula bata?
Inatia mashaka sana kama tupo salama.
Send using ...