Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wadau,katika pitapita yangu nimekutana na hii kitu kinaitwa mbinu 36 za kukabiliana na mpinzani wako. Nimejaribu kudadavua kwa uelewa wangu mdogo nikagundua hii ni copy and paste of how...
1 Reactions
0 Replies
615 Views
"Guru" ni neno linalomanisha, aliyebobea, au mtaalamu wa kitu Fulani...basi kama kichwa cha habari kinavyosema Kama wewe ni mbobezi wa masuala ya IT basi karibu PM tu share Jambo zuri sana...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kimsingi maisha Ni mazuri na Sisi tunafurahia Sana kuzaliwa Tanzania na tumeuona ukweli wa Mambo toka tulipotoka na tunapokwenda. Hakuna anayetuzuia kufanya mazoezi mida ya jioni,tunao Uhuru...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Huu Upuuzi Wa TBC mamlaka husika zichukue na kutoa adhabu stahiki
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Nchi za Afrika Mashariki kwa kipindi cha miaka mitatu iliyopita, zimekuwa katika kasi ya harakati za manunuzi ya silaha za kivita bora zaidi zikiwemo ndege, magari na vifaa vingine ambapo Kenya na...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Najua unajua kusoma, lakini hata kama hutaki kusoma basi angalia picha....! Sent using Jamii Forums mobile app
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wana jamvi? Rejea kichwa cha uzi juu hapo. Kwanza kabisa nampongeza kijana mwenetu kwa bidii katika kazi aliachiwa na babake, Mo anakuja vizuri sana katika kila bidhaa kiasi kwamba Azam...
8 Reactions
34 Replies
9K Views
Serikali tuliyo nayo leo ni matokeo ya Kukosolewa na kujisahihisha kwa Chama Cha Mapinduzi. Baada ya Mbunge J.Mnyika Kusema kuwa Rais wa awamu ya nne alikua dhaifu katika kushughulikia Mafisadi...
1 Reactions
2 Replies
934 Views
Wakuu Saikolojia ni kitu cha ajabu sana sana, kwa ufupi watu wafupi hua wanakua kwenye kundi la watu wadhaifu na ambao huvuruga mambo mengi hata yasiyowahusu. Hivo mtu mrefu anapaswa kuishi na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Asalaam wakuu. Kwa siku kadhaa nimekuwa nikiota nafanya mazoezi ya kijeshi,mara nyingine nipo nawinda porini huku nikiwa ndiyo mdungua wanyama. Katika harakati za uwindaji tulikutana na nyoka...
4 Reactions
69 Replies
7K Views
Anayeua Watu kwa Kuwadungua ( Snipers ) na Yule anayeuwa Watu kwa kutumia Mapanga nani ambaye ana roho mbaya ambayo hata kwa Mwenyezi Mungu akiomba ' msamaha ' atakataliwa tu na Kuchomwa ' moto '...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Serikali imeombwa kuhamasisha ufugaji wa Ngamia hasa kwenye maeneo ambayo yamekuwa na migogoro kati ya wafugaji na wakulima , ili kupunguza migogoro hiyo ikiwemo Akizungumza na waandishi wa...
2 Reactions
9 Replies
5K Views
Watu wengi tumejikuta hatupigi hatua hata kwenye mambo madogo kwa kuwa tumewekeza ndoto zetu kwenye mambo makubwa. Unakuta mtu ambaye hajawahi hata kujenga vyumba viwili anawaza kujenga ghorofa...
1 Reactions
3 Replies
964 Views
Kuna jamaa mmoja ombaomba barabara ya morocco -mwenge -tegeta; huwa anashangaza sana na staili yake ya kuomba! Haya nimaneno yake namnukuu; "Ndugu zangu mwenzenu naomba msaada, mke wangu...
4 Reactions
65 Replies
7K Views
Nimejiridhisha "washing machine" zinaniongezea bajeti ya kununua nguo,kutoka " pairs" tano(5) hadi kumi (10) kwa mwaka. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
386 Views
Hivi ni hatua zipi zinahitajika mtu ujifunze kuwa sniper!? Ni lazima upitie kuwa mwanajeshi au police? Huwezi pata mafunzo yoyote nje ya jeshi ikiwa utahitaji kumiliki silaha yenye uzito huo kwa...
2 Reactions
34 Replies
5K Views
Mwanachama wa CCM mzee Lembeli anasema CCM ni chama kizuri ila baadhi ya viongozi na wanachama wake ni waongo, wanafiki tena wana roho mbaya sana. Lembeli anasema aliondoka CCM na kuhamia Chadema...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
JE KUMEFANYIKA TATHIMINI YA KUTOSHA AU MATAMKO YA MVUA NAJUA KUNA FAIDA LAKINI TUANGALIE HASARA ZIFUATAZO 1.MAPATO KUSHUKA –hapa ni kwamba sasa hakutakuwa na wageni kutumia mawasiliano ya simu...
1 Reactions
0 Replies
643 Views
Moshi raha sana kwa upande wa huduma ya maji safi sa salama. Hata chakula tu kinapatikana sana na kwa bei nafuu mno. Kuna skimu nyingi sana za umwagiliaji kwa ajili ya mazao ya mbogamboga na...
4 Reactions
33 Replies
4K Views
Wakuu nisaidieni nipande magari ya wapi na nishukie wapi?
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Back
Top Bottom