Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mwili wa aliyekuwa Afisa wa Wizara ya Nishati Mery Mkwaya Maramo aliyefariki mwanzoni mwa wiki hii na kuzikwa jana katika Makaburi ya Pugu Mwakanga jijini Dar es Salaam, Usiku wa kuamkia leo watu...
8 Reactions
259 Replies
53K Views
MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UFAFANUZI KUHUSU WAFANYAKAZI TPA KUFIKISHWA KORTINI Katika siku za hivi karibuni kumekuwepo na taarifa yenye kupotosha...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Inawezekana kabisa, Watu wasio Elimu ama Ujuzi fulani kukalia Vyeo au nafasi wasizokua na Vigezo nazo ama uwezo. Wakawa miongoni mwa Watoa Maamuzi na wananufaika wakuu wa fursa na manufaa...
0 Reactions
2 Replies
913 Views
Bangi ina ubaya gani? Hebu tuelezane... Rais mwenyewe kamshauri waziri wake kuwa ili awe anashika matakwimu kibao,data na mazaga zaga awe ana kwesa makambo kwanza. Yaani awe anavuta bangi then...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hayo yamebainishwa na Msemaji wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Kijamii wa Twitter alipokuwa akizungumzia tukio la uungwaji wa reli ya treni za Umeme, Standard...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa lugha ya nyumbani ya kinyakyusa anaitwa Sogosela,lakini ni aina ya ndege wanaojulikana kama Weaverbird,maarufu kwa kutengeneza viota na kula mpunga mashambani
3 Reactions
3 Replies
605 Views
Habari zenu wadau wa jf, Naombeni kujua zipi changamoto hatarishi za kushiriki SUNGUSUNGU wa kujitolea mtaani maana utaratibu huo umeanza mtaani kwetu kutokana matukio ya uvamizi majumbani wakat...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nilikaa na mwanasaikorojia mmoja akaniambia haya Umri kuanzia 1 mpaka miaka14 huu muda mtoto anautumia kujifunza na ndio maana watoto wa lika hili wanamaswali mengi mpaka kero. Ukikaa na mtoto...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Serikali iko katika hatua za awali za kuandaa mpango wa uagizaji wa gesi ya mitungi (LPG) kwa pamoja kama ilivyo kwa mafuta ya Petroli hali itakayosaidia kudhibiti masuala mbalimbali ikiwemo bei...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
" Unapowasiliana ni muhimu kukumbuka kuwa wapo watakaosikia ulichokisema na wapo watakaosikia ambacho hukukisema. Hakuna ubaya kuomba msamaha kwa kile ambacho mtu alikwazwa nacho alichokisikia...
8 Reactions
101 Replies
10K Views
Yaani inaboa ukifika ndani ya jumba la kusubiria ndege mna joto AC hazifanyi kazi,unaona kabisa abiria wanavuja jasho,hii ni aibu kwa Taifa ukizingatia kuwa wageni wengi wanatumia huduma za uwanja...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Huyu mzee amefanya kazi iliyotukuka ya kuumbua majizi nyangumi kama sio papa ndani ya awamu ya tano. Huyu ni msomi wa kuigwa na wala huwezi kumlinganisha na Mr. Borapesa Lipumba. Ila kuna genge...
10 Reactions
32 Replies
3K Views
Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imeanza kutoa huduma katika ofisi zake kwenye Mji wa Serikali, Mtumba jijini Dodoma baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kama wewe ni mfuatiliaji wa tamthilia ya Sultan bila shaka utakubaliana nami kwamba sio tu ni ngumu kwa kiongozi kuwa na taarifa sahihi bali pia ni hatari zaidi anapozungukwa na watu wanaomsifia...
10 Reactions
30 Replies
5K Views
Sharing is caring. Unachokiona share na wenzanko. Mimi sioni mwanga mwisho wa tunnel, ni giza nene nahisi tumepotea njia. Hii traini inakwenda kasi sana na kama tunaenda uelekeo usio wenyewe...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Natumaini hata kwa wateja wengine wa VodaCom mmeshawahi kupigiwa simu na namba hii +255 901761234 ikiwa na matangazo mbalimbali. VodaCom naomba mtujuze kama mnalipa kodi ya tangazo hili na kwa...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Ni kwa Nini Serikali inazuia uhamisho wa wanafunzi msingi na sekondari kutofanyika mda wote? Mfano sasa hivi huwezi kuhamisha mwanafunzi hadi mwezi june au december. Hoja kubwa huwa ni nini kwenye...
0 Reactions
1 Replies
909 Views
WATANZANIA hatuna budi kupiga vigelegele, makofi na hoihoi za shangwe! Hatuna budi kucheza mdundiko, lizombe, gita, mganda, na mdumange! Hatuna budi kutunga tenzi, ngonjera na nyimbo za sifa kwani...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Jamani nimepokea hii kwenye PM yangu nikiombwa niiweke hapa JF ili kuhamasisha watanzania (watakaopenda) kumuunga mkono Rachel Temu anayeshiriki kwenye MISS AFRICA UNITED STATES. Admin naomba...
0 Reactions
86 Replies
13K Views
Airbus delivers first superjumbo The first commercial A380 flight will take place on 25 October Airbus has delivered its first finished A380 superjumbo jet to Singapore Airlines, 18...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom