Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,851
- 7,768
Nimekuwa mshamba wa YouTube haswa video. Nikiangalia video nashindwa kufanya ijae kwenye screen ya simu. Mfano naangalia ikiwa nusu screen huku maandishi ya chini yakisoma like, download, save, share nk. Siyahitaji kuona hayo maandishi. Nitafanyaje?
Vilevile namna ya kuondoka YouTube. Mfano Facebook kuna sehemu unaona logout lakini YouTube namna ya kutoka sijajua na hivyo najiondokea kienyeji tu bila kufuata taratibu za technolojia.
Naomba msaada wenu kwa wajuvi, kumbuka technolojia hizi sio zetu tumeletewa tu.
Asanteni.