Kwa Niliyoyashuhudia leo Serikali Ijitafakari

Kwa Niliyoyashuhudia leo Serikali Ijitafakari

ze farmer

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
922
Reaction score
1,822
Leo mapema nilifika kijiwe changu cha kupiga Monde.
Punde si punde watu wakaanza kumsikiliza bwana mkubwa "DHAIFU". Kitu cha kushangaza ni kuwa kila mmoja alitoa lake waliopo wa kutukana na waliopo wa kulaani hii nchi. La kujifunza ni kuwa Watanzania wengi wanamachungu mioyoni siku watakapoamua kuyatapika si kauli ya Mkuu wa kitengo gani itasaidia.
Wenye dhamana fanyeni haki watu wamechoka na uonezi huku mtaani. Najua mnapita. watu wanaonewa sana...
Watu hawana hela mtaani, kodi kubwa kila sehemu, wenye zamana mnapiga cha juu sijui bilioni ngapi ngapi leo tena mnasimama eti hakuna hela imeibiwa kesho mnamtumbua aliewanyoshea kidole msifikiri mko salama. Hawa vijana naona wanawazooom tu. La maana kama mtu umekosa ni bora kunyamaza ila sio hii dharau ya kutaka kuwadanganya wananchi kama wote ni mazuzu hawajui kinachoendela.
GIZA HALIJAWAHI ISHINDA NURU.
 
Elimu yetu ni duni. .. mleta hoja yawezekana alikuwa na nia nzuri ila uandishi magirini ndio tatizo
 
Tanzania inaanguka!kuna wakati nawaza labda watawala watajirekebisha! Lkn Hali inazidi kuwa mbaya.
 
Monde ni mdudu gani kwani,au anamaanisha 'ulabu'?

Sent using Jamii Forums mobile app


'ulabu'ni mdudu gani kwani,au anamaanisha
1071777
 
Back
Top Bottom