Natumaini wote humu wazima, pamoja na mikiki mikiki ya hapa na pale na habari zinazotrend kwa c.a.g na wazee wa liquid namshukuru mungu kwa kuvipa vidole pumzi ya kutype hapa j.f :):):)
Haya...
Ukifanya questionnaire kwa watu kumi au Zaid ukawauliza matatizo yao watakwambia
1.pesa
2.maradhi fulani
Hutasikia mtu anayekwambia anasumbuliwa na wachawi.cha ajabu makanisani wanatangaza kwamba...
Mashindano ya CAF Vijana chini ya miaka 17 yanafanyika Tanzania Kwa Mara ya kwanza ni mashindano makubwa Kwa Africa na duniani.
Nimeshangaaa sana television ya taifa haikuweza kuonyesha hata...
Ni kweli, juzi hapa niliandika uzi juu ya wasiwasi wangu wa ndege za serikali Magufuli alizoagiza ziingizwe ATCK na akaamuru zipakwe rangi hapa nchini badala ya nje. Nilisema wazi kwamba upakaji...
Na Waandishi Wetu, Dodoma, Dar
BAADA ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kukabiliwa na kashfa ya kupotea katika mazingira ya utata kwa magari mawili yenye thamani ya shilingi milioni...
Honestly, i can speak straight english. But i can't say i'm good enough. I have flaws. Lots of it. My grammar sucks, my vocabulary is sometimes limited, my usage of words can sometimes be...
Wakuu habari zenu.
Kuna jambo nalishangaa sana naamini si mimi tu, hivi mmewahi kutembelea website ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)? (www.tcra.go.tz) Ukiitembelea unaweza kujua ni website...
Japo mimi ni mkereketwa wa chama pinzani kimojawapo, nasema vyama pinzani bila kujiimarisha kiuchumi, haiwezekani kuchukua nchi i.e kushika kiti cha urais.
Chama hakina hata ofisi za ghorofa...
Ndugu zangu , mimi sio mwanasiasa na wala sishabikii chama chochote cha siasa. Ila nimekuwa nikifuatilia mambo mbalimbali yanayotendeka katika nchi yetu na nimekuwa nikiunga mkono kwa yale mazuri...
Kitambulisho cha taifa ambacho kinatolewa na NIDA wanataka kiingie kila sehemu wakati ki ukweli kabisa haiwezekani kwa sasa labda miaka 5 au 10 ijayo
TCRA wanataka laini zote za simu zisajiliwe...
Maisha ya mwanadamu yamezungukwa na misukosMAuko na mitihani mbalimbali ambayo wakati mwingine humfanya ajione tofauti na kujiona mwenye kukosa thamani ya maisha,
miongoni mwa matatizo ambayo...
Wakuu ukipita pale Ikulu ule ukuta wa fensi umezibwa na mabati kila mahali, kiasi kwamba huwezi ona chochote mle ndani!
Hivi nani aliwapa wazo la kuziba na yale mabati ambayo mwisho wa siku ni...
Hai,Wanafunzi wawili wa kidato cha pili katika shule ya Sekondari Kilimani iliyopo Kirua Vunjo Marangu wamekutwa wakiishi kinyumba na mtu mmoja Wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro
Taarifa za kuolewa...
OFISA wa Jeshi la Polisi, Mrakibu Msadizi wa Polisi (ASP), Lydia Ngua (43) amefi kishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka 22 ya kujipatia fedha Sh 489...
CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHATOA MWEZI MMOJA KWA HALMASHAURI YA WILAYA YA UBUNGO KUSHUGHULIKA NA CHANGAMOTO ZA WAFANYABIASHARA KATIKA SOKO LA MAHAKAMA YA NDIZI
Akizungumza na wafanyabiashara wa...
Kati wa wabunge ambao huwa siwaelewi basi mmoja wapo ni huyu, huwa ni mtu wa kujipendekeza sana na ameweka maslahi ya tumbo lake mbele kuliko maslahi ya jimbo lake
Niliwahi kumnukuu akisema...
Wataalamu watanisaidia!
Katika taarifa ya habari ITV saa mbili usiku huu; imeripotiwa nguzo moja kubwa ( Electric tower), miongoni mwa nguzo zinazosafirisha umeme mikoani imedondoka maeneo ya...
Na Andrew Mhaiki, Nyasa
(Na mwandishi wetu, Nyasa)
WAKRISTO wa madhehebu mbalimbali wametakiwa kufunga kipindi hiki cha kwaresima kwa kuziombea nchi ambazo wananchi wake wanatabika na kuhangaika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.