Kipi kimemsibu Prof. Mlacha aliyekuwa DVC-Udom

Kipi kimemsibu Prof. Mlacha aliyekuwa DVC-Udom

Mzee

Platinum Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
13,620
Reaction score
5,867
Kipi kimemsibu Prof. Mlacha aliyekuwa DVC Udom

Habari za hapa!

Huyu Prof. Mlacha alikuwa ni DVC-Finance & Planning ktk Chuo kikuu Udom....

Huyu mzee anamiliki Shule ya Sekondari huko kwao Same- Kilimanjaro inaitwa Alikachenje S.S... Sasa anafungua chuo kinaitwa Kachenje Training Instute..

Shule zimefunguliwa juzi, Wafanyakazi hawajarudi. Yupo mkuu wa shule pekee..

Wafanyakazi wanadai mshahara tangu mwezi June....

Je huyu nayeye alikuwa ktk kundi la wapiga dili??

===============

Udate kutoka kwa Mlacha.

Leo ni week ya Pili wanafunzi hawajafundishwa baada ya Waalimu kugoma....

Wazazi wenye watoto Alikachenje pamoja na Serikali jarbu kuliingilia kati.

Amefungua Chuo kinaitwa Kachenje Training Institute...... Nacte na Tamisemi walisajili Chuo ambacho hakina Vyoo....

Mnataka wanafunzi na Waalimu wao wakajisaidie Porini???

Bahati nzuri Chuo kimefunguliwa Jumatatu lkn hadi leo hawajapata mtoto hata mmoja.....

More Update to come!
 
Kama wizi ulitokea 2015 kwanini aanze kuyumba mwaka 2017??

Inawezekana Jamaa alikuwa na mianya sasa imefungwa??

Pole sana Prof. Mlacha, Poleni sana Wafanyakazi wa Alikachenje S.s

Nakumbuka huyu Mzee akiwa Udom aliwaambia wanafunzi Wanamzidi urefu na Umaskini ...

Pia alikuwa anasema "The world is too late to stop me"....

Ila ni aibu kwa Prof kuanzisha project halafu ife....
 
Ilikuwaje?

Ilikuwa hivi:

Huyu mama (Mke wa Prof) alikuwa ni meneja wa Shule.... Mwaka 2013 shule ikaanza kushuka .... Akahusisha na mambo ya kichawi.

Mwaka 2015 hali ikazidi kuwa mbaya zaidi.. Huyu mama akatafuta mganga wa Kienyeji..... Huyu mganga ndiye aliyepiga hizo hela.

Mama kustuka hela imeshaliwa... Na yeye akakimbia.
 
Mpaka wewe umeiona nje unadhani ndani ilianza kumuathiri lini we vipi
 
Kama wizi ulitokea 2015 kwanini aanze kuyumba mwaka 2017??

Inawezekana Jamaa alikuwa na mianya sasa imefungwa??

Pole sana Prof. Mlacha, Poleni sana Wafanyakazi wa Alikachenje S.s

Nakumbuka huyu Mzee akiwa Udom aliwaambia wanafunzi Wanamzidi urefu na Umaskini ...

Pia alikuwa anasema "The world is too late to stop me"....

Ila ni aibu kwa Prof kuanzisha project halafu ife....
Unacheza na NGOSHA?,hii kitu ni habari nyingine
 
Unacheza na NGOSHA?,hii kitu ni habari nyingine

~~~>>>>Huyu Mzee Mlacha wanafunzi wa Udom watamkumbuka kwa kauli yake....

Aliwaambia wamemzidi Urefu na Umaskini tu
 
Mpaka wewe umeiona nje unadhani ndani ilianza kumuathiri lini we vipi
 
~~~>>>>Nafikiri ameshaondoka . Maana ktk mahafali ya mwaka jana niliona walitambulisha dvc mpya...

Nimemsahau jina.
Prof Ame.... Prof mpenda amani kuliko wote yaani full haki .. Waliosoma UDSM watamkumbuka alikuwa anafundisha soma la Quantative Analysis.....
 
Mbona hata sisi huku Bulongwaa chuo cha afya hatujalipwa sass ni mwezi wa 6 nashauri kwa yeyote aliyeomba chuo hiko asije bcse tuna sabotagee as soon as possible, nimeamini wakinga wa makete mamburula
 
Back
Top Bottom