Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Huu ni ushauri wangu tu. Hasa kwa vijana.
Ni mara 100 ukanunua mashamba /maeneo kuliko kukimbilia kujenga nyumba ya kuishi.
Ukinunua maeneo / mashamba , unakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kuishi vzr hapo baadae kuliko kukimbilia kujenga nyumba.
Mfano una 20 milion. Nunua mashamba yako mazuri yanayofaa kwa kilimo hasa cha umwagiliaji hata kama 5 acres @ 4 mil kuliko ujenge nyumba ya kuishi yenye thamani hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app