Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

habari wadau.. kwa spidi ya awamu hii.. naona kabisa SAUT, Tumaini, st johns na vyuo vingi vya private vilivyoanzishwa awamu ya 4 vikielekea kukosa wanafunzi kabisa na mwisho wa siku kufilisika...
6 Reactions
32 Replies
6K Views
Wanabodi Nisiwe mnafiki katika hili, napenda kutoa pongezi za dhati kwa clouds media group kwa kufanikisha kampeni ya "naamka na Jetman" aliyelala kwa muda wa zaidi ya miaka mitano msanii huyo...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Especially la Joti, ni baya kuwahi kutokea, kwanza halina uhalisia. Huyu mtu wameisha m-utilize vya kutosha, watafute wabunifu wengine. Wakenya wakiliona watazidi kutudharau sana.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Maofisa wawili wa Mamlaka ya mapato Tanzania, TRA, kituo cha Tunduma wamefikishwa katika hamakama ya hakimu mkazi mkoa wa Mbeya na kuunganishwa na watuhumiwa wengine saba katika kesi ya uhujumu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wafanyakazi wa Benki ya BancABC Tanzania, wafikishwa mahakamani wakituhumiwa kuiibia benki shilingi 23,700,000. Wawili hao waliotambulika kama Paul Mwakiteleko na Edward Kubagwa wanadaiwa...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Haki zetu kuwa na wenza wetu tupeni, Kama uhamisho na mambo yote ya msingi. Mmeshakuwa mawe na sisi nazi hatuna jipya mpaka 2020. Wote tunastahili haki na usawa katika Taifa.. Sio...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Redirect
Waziri anasimamia anasema sentensi kama hizi. Hivi hawa viongozi uwa wamelewa madaraka au ndio majivuno. Unaweza kusimama kusema maneno ya namna hiyo, naimani mheshimiwa anadhani kwa kuwa...
0 Reactions
Replies
Views
Jopo la majaji watatu wa mahakama ya rufaa nchini Kenya wameoneza siku saba zaidi kwa wapatanishi wa kutafuta suluhu kwa mgomo wa madaktari kupata dawa ya mgomo huo kwa masharti kuwa mazungumzo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ninaomba msaada, kila nikifungua website ya TCRA, computer yangu inaniambia Infection Detected The requested URL contains malicious code that can damage your computer. If you want to access the...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Leo kupitia Redio BBC idhaa ya kiswahili kuna mahojiano yamefanywa Na mtanzania kabila la mkurya huko Mara akisema kuwa mila ya kabila hilo ni kwamba ikitokea umekufa bila kuoa ni lazima ndugu...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
  • Redirect
Nimetoka kuzunguka Madukani Mjini Sa Hivi toka Nifanye Shopping zamani mwezi wa Kwanza.. Nimerudi Leo Kidogo Nihairishe Kununua Vitu [emoji666]Mchele Kilo Moja Tsh 1900 [emoji666]Mafuta Ya...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru mke wa marehemu bilionea Erasto Msuya, Miriam Mrita na mwenzake Revocatus Muyela wanaokabiliwa na kesi ya mauaji ya Aneth Msuya. Hata hivyo muda...
0 Reactions
Replies
Views
Kadri teknolojia inavyozidi kukua ndivyo navyo baadhi ya watu wavyotumia teknolojia hiyo hiyo kufanya ugaidi na kuangamiza watu pamoja na makazi yao, ili kuhakikisha kuwa haya hayaendelei kutokea...
0 Reactions
5 Replies
9K Views
  • Redirect
Najua wengi leo asubuhi mmefanikiwa kusikiliza audio iliyopostiwa hapa na member aitwaye@Tatamadiba . Ni mazungumzo ya simu ya dk 7 kati ya steve nyerere na mama yake wema sepetu Usiniulize nani...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Sitaki niende mbali ila naomba tu kupitia Headline yangu ya uzi wangu huu basi nijibiwe swali langu hilo muhimu mno kwani naona tayari kama vile hali ya hewa imeshachafuka mahala fulani na Watu...
8 Reactions
Replies
Views
Ni kiwewe cha watumishi wa serikali ya Magufuli hadi kupoteza muelekeo au ni mpango wa kumuhujumu Rais ili achukiwe na umma? Mwanafunzi amedahiliwa na chuo kikuu, kwa utaratibu rasmi wa udahili...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni kwa Ku introduce meli hii kubwa ya aina yake itakayosafiri ka ti ya unguja,Pemba na Tanga,yenye madaraja matatu,First class,business na economy class. Meli itakayobeba abiria zaidi ya...
28 Reactions
134 Replies
20K Views
Naamini mnaendelea vema na shulughuli za kila siku poleni kwa majukumu maana changamoto zimekuwa nyingi. Kuna swali ambalo huwa najiuliza kila siku kutokana na yale unayokuta wakati mwingine...
0 Reactions
0 Replies
643 Views
Umefika mwaka wa pili chuo halafu unaambiwa huna sifa za kuendelea. Wengi wanao hitimu vyuo hata kama wana sifa wakimaliza elimu haiwasaidii.
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema serikali itatoa adhabu kali ya kifungo cha miaka 30 jela kwa wazazi wote wawili wa mtoto wa kike atakayekatishwa masomo na kulazimishwa kuolewa ama akipata...
0 Reactions
2 Replies
815 Views
Back
Top Bottom