Umefika mwaka wa pili chuo halafu unaambiwa huna sifa za kuendelea
Wengi wanao hitimu vyuo hata kama wana sifa wakimaliza elimu haiwasaidii
Bora hao mwaka wa pili, wapo ninaowafahamu wako mwaka wa tatu, wamebakiza semester moja tu wamalize chuo, leo hawana sifa
tcu matahiraAlafu wamepewa mkopo. Sijui wanaulipaje..
Au wanasamehewa kwasbb hawana sifa za kupata mkopo
UNASEMA WW MWAKA WA 2, WATU ARDHI WAPO WA 5 WAMEBAKISHA SEM1 WANAAMBIWA HAWANA SIFA
Pale SAUT kuna vijana walisha hitimu na vyeti wamepewa lakini leo wanaambiwa hawana sifa.Umefika mwaka wa pili chuo halafu unaambiwa huna sifa za kuendelea.
Wengi wanao hitimu vyuo hata kama wana sifa wakimaliza elimu haiwasaidii.
Dadeeeki kweli watuvwalifaidi ilihal wengine miguu iliota magaga kwa kulowekwa kwenye maji usinzie...lolKenya wao wameenda mbali hata wale ambao tayari wamepata shahada zote zimehakikiwa zile hewa zote ambazo watu walisoma kiujanja ujanja bila sifa wamezi nullify na kuzi expunge kwenye record. Nadhani na bongo punde si punde linakuja. Haiwezekani eti mtu form four a na D mbili tuu zingine zote ni F , Hajawai ku reseat then unamkuta chuo kikuu naye ana degree. Wengine vyeti wamevipata shule ya secondary " STATIONARY AND PHOTOCOPY " halafu kesho ana degree, wengiene kasoma vi online vyuo vya kijanjajana wanatumiwa maswali eti wasimamiwe na wakili wanakula dili wanasolve pamoja mwezi mmoja mtu ana degree wapi na wapi? lazima tejenge taifa lenye misimamo na elimu inayoeleweka. Huwezi kuonyeshaa paa wakati msingi hauonekani, huwezi kuonyesha degree wakati data za form four hazieleweki ama ni mbovu.
Wote huomba tcu! Hapo sasaWalipwe fidia maana hawakujichagua wenyewe.Walituma maombi,taasisi zinazohusika na uchaguzi zikawaona wanafaa.Wamepotezewa muda na fedha hivyo ni haki yao kufidiwa.
Hili Jambo la kukemea Kia sauti kuu kabisa. Mambo yanafanywa na kuwa approved na wengine halafu mwanafunzi ndio awe muhanga.Walipwe fidia maana hawakujichagua wenyewe.Walituma maombi,taasisi zinazohusika na uchaguzi zikawaona wanafaa.Wamepotezewa muda na fedha hivyo ni haki yao kufidiwa.