IDADI ya vifo vya waendesha bodaboda nchini vitokanavyo na ajali imepungua katika kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka huu kinachoanzia Januari hadi Machi, ikilinganishwa na idadi ya vifo vya...
Sio jambo rahisi lakini kwakua tupo duniani penye kila aina ya binadamu usikate tamaa. Watu wema wapo Peponi tu hapa duniani kuna kila aina ya binadamu hivyo vyema kutafuta namna ya kutengemaa...
Mm nipo mkoani ila wakati hii benki inaanzishwa nilinunua hisa 6000 ila kila nikichungulia taarifa za soko la hisa za kila siku naona hisa ziko palepale yani bei yake haijawai kupanda.
Mbaya...
Habari wanajamiiforum.
Katika pitapita zangu youtube nikakutana na hii ya rachel temu akielezea mwanzo mwisho kuhusu matukio mpaka kifo cha dr mengi
Kwanza nilidhani ni udaku ila mambo yanazidi...
Kijana mmoja amejirusha kutoka ghorofani na kufariki dunia papo hapo baada ya kufuatilia mafao yake katika ofisi ya PSPF JIJINI MWANZA.
Ambapo alipewa mlolongo mrefu wa fedha yake na kuambiwa...
Ikiwa ni mwaka wa tano mfululizo wahitimu wa digrii za ualimu masomo ya sanaa wakiisoma namba barabara,nimefikiria juu ya hiki kilichobeba uzi wangu.
Kupitia tangazo la mwezi february...
Imekuwa ni kero ya muda mrefu kwa watumishi ambao tunafatilia vitambulisho vyetu vya bima mkoani kagera.
Kila ukienda wanakwambia vitambulisho havijakamilika kwa kisingizio cha kuharibika kwa...
Wadau kama unatumia kingamuz cha startimes nyumbn kwako kile cha anternal au dish naingiza channel za azam ziko package 3 na za dstv ziko 209 popote ulipo nakupa huduma
=====
UFAFANUZI
=====...
Ikiwa kila siku tunaona kilio Bungeni na TIC wakililia mazingira ya uwekezaji kuwa rahisi na kupunguza ukiritimba, bado tunaona kuna Wizara zinajitunguia miongozo inayo kinzana na Sheria...
Leo nimeamka nikiwa simple tu nilipigiwa simu ofisini nielekee sehemu moja Magomeni kwa shughuli za kikazi. Nilivaa vazi ambalo wengi husema asili yake ni uarabuni. Lakini mimi nilinunua duka la...
Hivi juzi kati marekani wamepeleka carrier strike group pamoja na bombers na hata Rais Trump alisikika akisema akilazimika atatuma wanajeshi zaidi ya laki moja.Sasa hapo IRAN hana jinsi ila kuwa...
Serikali imesema watumishi wa umma hawapaswi kuomba nyongeza ya mwaka ya mshahara, bali Serikali ndiyo yenye uamuzi wa kutoa au kutotoa nyongeza.
Hayo yamesemwa bungeni leo Mei 14, na Naibu...
Santuri, Kaseti floppy, CD na sasa DVD na USB flash ndio njia ambazo kazi ya Sanaa zimekuwa zimekuwa zikiuzwa na kuhifadhiwa. Japo
hizo za mwanzo zimepitwa na wakati
Shukrani kwa wenzetu wa...
NetFlix ni mtandao wa ku stream show za television kama vile documentary na series
Netflix waliweka lugha ya Kiswahili kama moja ya lugha ambazo zipo kwenye subtitle ili mtazamaji mswahili...
Hadi sasa waarabu ndio wamebaki kupinga.
Waarabu wa Isis waliwapa vipondo mashoga huko monsul enzi zile.
Wamnaupinga wazi na Kwa vitendo. Hata magaidi licha ya ugaidi wao ushoga haupewi fursa...
Kampuni ya New habari (2016) Limited imetangaza kusisitisha uzalishaji wa gazeti la Mtanzania kuanzia jumatatu ya wiki ijayo mei 20, 2019 hadi juni 20, 2019 kutokana na mabadiliko makubwa ya...
Naelekea songea mjini kikazi,mwenye kujua guest kuanzia tsh 20000-30000/= anisaidie maana nitakuwepo 1 week,anisaidie siyo mbaya kama na mambo ya vijana pia nayo tujulishane maana yatasaidia siku...
RAIS WA AfDB AIPONGEZA TANZANIA KWA UKUAJI WA UCHUMI WA ASILIMIA 7
Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika, Dkt. Akinwumi Adesina ametoa pongezi hizo alipokutana na Rais Magufuli katika Ikulu ya Dar...
Vijana hapo juu wamecharazwa bakora na vijana wa kiuslam baada ya kukutwa sehemu wanakula kilaji na nyama choma lkn haikuwa hadharani walikaa eneo la ndani (uani)
Huo ubabe mnaofanya mtajutia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.