Mkate mshahara wote ila........!

kanyela mumo

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
2,034
2,115
Haki zetu kuwa na wenza wetu tupeni,

Kama uhamisho na mambo yote ya msingi.


Mmeshakuwa mawe na sisi nazi hatuna jipya mpaka 2020.

Wote tunastahili haki na usawa katika Taifa..

Sio wafanyakazi elfu 12 wawatese wafanyakazi wote.


hatuwezi kukubali mkalie haki zetu kwasababu zenu binafsi.
 
Wakate Hatutashindwa Na Kama Kuna Watu Wanadhani Tutashindwa Watashindwa Wao Wakiuke Na Taratibu Kabisa Sheria Ikisema Hivi Wao Waje Na Mpya Kabisa Ila......
 
Back
Top Bottom