Tangazo La "Halichachi"

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,772
12,174
Especially la Joti, ni baya kuwahi kutokea, kwanza halina uhalisia.
Huyu mtu wameisha m-utilize vya kutosha, watafute wabunifu wengine.
Wakenya wakiliona watazidi kutudharau sana.

Kwahiyo umewaona wakenya ndo kichwa sana? kwani ungeishia hapo uliposema watafute wabunifu wengine bila kuweka mambo ya wakenya ingekuwaje? unasema tangazo baya wewe sasa si uzime tv wakati wakionyesha? au unawakilisha na familia yako au kijiji chenu chote katika hili? Ngoja niwasiliane nao basi wakuweke wewe badala ya Joti.
 
Especially la Joti, ni baya kuwahi kutokea, kwanza halina uhalisia.
Huyu mtu wameisha m-utilize vya kutosha, watafute wabunifu wengine.
Wakenya wakiliona watazidi kutudharau sana.
mkuu utakuwa unafanya kazi Voda au Airtel si bure. hebu toa dukuduku lako ili tuelewe nini tatizo
 
Back
Top Bottom