Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

  • Redirect
Wanafunzi zaidi ya 7000 katika vyuo vya elimu ya juu mbalimbali hapa Tanzania wanakabiriwa na hatari ya kufutiwa udahili katika vyuo hivyo iwapo watashindwa kuthibitisha sifa zao za kitaaluma...
1 Reactions
Replies
Views
Sehemu kubwa za nchi yetu hali ya hewa iko tete mvua hakuna, lakini sioni juhudi za makusudi za kuelewesha wakulima nini wafanye kukabiliana na hali itakayofuatia, kwa jinsi mambo yanavyoonyesha...
0 Reactions
0 Replies
697 Views
Kampuni hiyo kongwe nchini, ambayo umiliki wake unahusishwa na mfanyabiashara maarufu nchini, Yusuf Manji, pamoja na nyingine zinazotoa huduma za simu zinatakiwa zijisajili DSE kwa ajili ya kuuza...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mrembo anayepamba video za wanamuziki, Agness Gerald, maarufu kwa jina la Masogange na wafanyakazi 14 wa kampuni ya Quality Group wamefikishwa katika Mahakama ya Kisutu wakisubiri kusomewa...
4 Reactions
119 Replies
22K Views
Wana jamvi salaam kwenu, nijuavyo mimi TRA wameiteua majembe kusimamia uwakala wa kukusanya ushuru na.Hasa wa magari kama motor vehicle na hata uhamisho wa umiliki. Hapa Arusha mapolisi wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Redirect
WATU watatu akiwamo OCCID wa Wilaya ya Kibiti mkoani Pwani, Peter Kubezya wamefariki dunia kwa kupigwa risasi na watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi katika Kijiji cha Jaribu mkoani hapa...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Nimeisikia kutoka magazetini
0 Reactions
Replies
Views
USHAURI kwa WAANDISHI wa HABARI na WATANGAZAJI Tu.(WANAWAKE). Ndugu zangu wanahabari wenzangu nawapenda sana, Leo nataka nitoe angalizo kwa wanahabari wa kike. Hivi karibuni na mpaka sasa kuna...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
  • Redirect
Kutoka Saudi Arabia mtoto wa mfalme wa nchi hiyo Prince Mohammed Bin Salmanambaye pia ni waziri wa ulinzi ndio aliemiliki vichwa vya habari. Uamuzi wake wa kusafiri na Ndege jamii ya Mwewe...
0 Reactions
Replies
Views
Jana niliona taarifa ya kuzinduliwa radio mpya ya ndugu Joseph kusaga na kwamba radio hiyo imepewa frequency zilizikua zikitumiwa na BBC radio na kweli usiku Jana sikuipata BBC radio kwa Mara ya...
0 Reactions
2 Replies
858 Views
Nafahamu hii inaweza kukushtua sana, imetokea nchini Afrika Kusini kumuhusu mchungaji Lethebo Rabalago wa Kanisa la Mountzion General Assembly lililopo mji wa Limpopo, ambaye amekutwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mzee wa upako amesema kamatia chini imechuja na sasa hv ni Weka muziki acha maneno.Amesisitiza yeye sio mchungaji wa kizamani kama wengine.Pia katika mahubiri hayo amekiri anakunywa...
15 Reactions
218 Replies
38K Views
  • Redirect
Nimechoka kabisa... Mshahara waliongeza mshahara kwa mbwebwe kwa asilimia 2 sasa hivi bodi imeongeza makato kwa 7%..hatari sana...
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kwa mujibu Guiness mtoto mzito zaidi kuwahi kuzaliwa alikuwa na kilo 10.2 ambaye alizaliwa huko Italya mwaka 1955 Aleix Segura Vendrel wa Baecelona Hispania anashikilia rekodi ya kushikilia pumzi...
0 Reactions
Replies
Views
Jana nikiwa kwenye basi la mwendo kasi majira ya jioni kuna mzee alikuwa akilalama wakiongea na mwenzie kuwa amepeleka fomu ya assesment ya kodi TRA ina mwezi haijatoka. Akasema wanakaa nazo muda...
0 Reactions
7 Replies
936 Views
  • Redirect
Simshangai Makonda kwa historia yake isiyopendeza ya kufeli kidato nne. Kwa Tanzania kufeli kidato cha nne sio ishara ya kuwa au kutokuwa na uwezo wa kuongoza, ingawa Makonda mwenyewe hajawahi...
3 Reactions
Replies
Views
Habari za asubuhi wapendwa wote. Katika kupitia ukurasa wa BBC news niliweza kukutaba na taarifa kuwa jamii ya wakurya mkoani mara marehemu huoa na kufunga ndoa. Jf hakiharibiki neno. Hebu naomba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Redirect
Yaani kwa kweli machungu ya makato ya mkopo yameongezeka this month inaumiza sana asee duh poleni mliopatwa na hilo panga asee
3 Reactions
Replies
Views
Watu waliofungua/kumiliki Makanisa Binafsi wamejikuta wakipata utajiri ambao hawakuufukiria hivyo BIASHARA hiyo imewavutia watu wenge hasa watu maarufu Nay wa Mitego anasema anafungua kanisa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hallo wana-JF, Baada ya E-fm kuja na TV na kufanikiwa kuanza kuwateka vijana wapenda burudani ya Muziki, hivi sasa kuna ujio mwingine mpya wa TV kwa kupitia king'amuzi cha AzamTV inayoenda kwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom