TCRA website ina virus infection?

Keynez

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
2,413
3,904
Ninaomba msaada, kila nikifungua website ya TCRA, computer yangu inaniambia

Infection Detected

The requested URL contains malicious code that can damage your computer. If you want to access the URL anyway, turn off the Avast web shield and try it again.

Infection type: JS:Includer-BOF [Trj]

Je, hii ni false flag na niruhusu anti-virus yangu ifungue hizo links au ni real threat? Nimekuwa najaribu kuaccess some information kwenye website yao kwa muda sasa na hili tatizo limeendelea kuwepo.
 
Mkuu mbona natumia iPhone website inafunguka vizuri tu. Labda mashine yako tu.
 
Back
Top Bottom