Habari wanabodi,
Nilikuwa nauliza na kujua gharama za kupaka rangi kwa mara ya pili gari ndogo. Kwa Dar es Salaam ni kampuni gani nzuri na gharama zake? Je kuna wachina wanaofanya hizi Kazi...
BRT ni huduma ya mabasi ya mwendokasi ambayo hutumiwa na nchi mbali mbali duniani.Kwa lengo la kupunguza kero na kurahisisha huduma ya usafiri.Lakini hali imekuwa tofauti nchini.Huu mradi umekuwa...
Mzuqa
Miaka ya nyuma 2007-2009 Kuna kamishna flani wa TRA bandarini Dar boti za Zenji zinapotia nanga alikuwa na nyodo, ngebe na dharau sana. Yanianatukana Kenge wewe kwa abiria akikagua mizigo ...
*NAWAZA KWA SAUTI; KWA HIYO HILI LA BANDARI ZITTO ANGEKUWA KIONGOZI WA NCHI*
1.Angeshasaini fasta Wachina waanze ujenzi wa Bandari na kuzuia upanuzi wa Bandari zote katika ukanda wa Tanzania na...
Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT) ni Silaha hatari sana, inaharibu kila kitu. Tunahitaji kuiweka teknolojia hii kwenye uangalizi madhubuti kama ilivyo kwa silaha za nyuklia. Tunahitaji...
Mko bize kujenda daraja la baharini kwani sie ni samaki? hebu oneni adha inayotupata wakazi wa jiji mpaka kufikia kufungwa kwa njia. AIBU SANA lile daraja la salenda kule watapita kina nani na...
Na Ahmed Rajab
“KWETU kweli kuna mambo. Lakini ya kwenu yamezidi, wala usikatae,” alinambia wiki iliyopita mwanasiasa mmoja mashuhuri wa Uganda. Simtaji jina asije akaanza kuninyima uhondo wa...
Habari waungwana?
Napenda kushare nanyi hili jambo dogo ila lina impact kubwa katika ustawi wa taasisi, kampuni, shirika na hata maisha binafsi.
Simu moja inaita, unaipokea hujamaliza maongezi ya...
Na Bakari Chijumba, Mtwara.
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania limetangaza kifo cha Mhashamu,Askofu Mstaafu wa Jimbo katoliki la Mtwara,Gabriel Mmole aliyefariki dunia leo Saa 10 alfajiri 15...
Wakuu
Nasema kwa dhati kabisa kwa uzoefu wangu kidogo kwenye biashara, unakuta unfuata taratibu kwanza mlolongo mrefu ili usajili biashara.
Halafu kabla hata haujaanza biashara wanakua...
Wizara ya Maji imesaini mkataba wenye thamani ya Shilingi Bilioni 15.6 na Kampuni ya WAPCOS kutoka India ili kuanza kutekeleza mradi wa maji wa miji 29.
Katibu Mkuu, Wizara ya Maji Profesa Kitila...
Leo kwetu kimetokea kituko cha dada yetu kutupia picha ya ngono kwenye status yake!
Huyu dada ni wakala wa forodha Tunduma.....katupia video ya ngono kwenye status yake!
Habari wakuu hii ni hospital inayojengwa toka miaka ya 80 huko mkoani Mara kwa ajiri ya kuwa hospital ya rufaa mpaka leo aijakamilika lakin chato uwanja wa ndege wa kimataifa umekamilika kwa mda...
Halmashauri ya Manispaa ya Moshi imempa mfanyabiashara anayemiliki klabu mashuhuri ya Meku’s Bistro Bar & Restaurant muda wa saa 24 kuifunga klabu hiyo kwa kukiuka sheria za nchi.
Klabu hiyo...
Hii ndio njia mpya na ya rahisi niliyoigundua itakayorahisisha kukomboa familia yako dhidi ya maonevu na vitisho ikiwa ni pamoja na ukombozi wa nchi yako .
Kijana mdogo sana aitwaye Bob Chacha...
Nashukuru mungu sna (ALHAMDULLILAH) mwaka 2018, umekuwa mwaka wangu wa mafanikio kwan baada ya kupitia changamoto nying za maisha, kudharaulika , chuki na fitna . Hakika mwenyez mungu alikuwa na...
Huwa najiuliza ubaya wa bangi ni nini? Sipati majibu binafsi navuta halafu naanza kuwaza kwa kina ubaya wake nini? Sioni hata.
Naenda navuta tena then nakaa sehemu nawaza ubaya wa bangi ni nini...
Kuna desturi za kukatika katika umeme baadhi ya maeneo ya mtwara vijijin hasa maeneo ya mpapura,kitere,libobe,nk kila siku wakati wa jion.je Kuna uhusiano gani kukatika umeme kila cku saa moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.