MONA WA KYEN
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 340
- 271
Naamini mnaendelea vema na shulughuli za kila siku poleni kwa majukumu maana changamoto zimekuwa nyingi.
Kuna swali ambalo huwa najiuliza kila siku kutokana na yale unayokuta wakati mwingine yakiongelewa mtaani. Kuna watu huwa wanalalamika kuibiwa pesa kwa njia za miujiza "chuma ulete" na nimekuwa ninazisikia ni muda sasa, lakini ninakuwa ninajiuliza kama huu wizi wa technologia kama hii upo? je kwa nini hawa wataalamu wasiende kuiba benki kwa namna hii? ninakosa majibu ndo maana nikaamua kuuweka hapa wenye uelewa na hili wanisaidie benki huwa wanalindaje pesa yao dhidi ya chuma ulete? au hiki kitu hakipo?
ahsanteni.