MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,360
- 8,005
habari wadau..
kwa spidi ya awamu hii.. naona kabisa SAUT, Tumaini, st johns na vyuo vingi vya private vilivyoanzishwa awamu ya 4 vikielekea kukosa wanafunzi kabisa na mwisho wa siku kufilisika kwa kushindwa kujiendesha...
mfano hai juzi wanafunzi wasio na sifa wameondolewa vyuoni na tcu.. mfano saut tu wanafunzi 1000 wameondolewa... hawa wote wanalipa ada kufanya chuo kijiendeshe sasa wanafukuzwa...
na bodi ya mikopo ndio imevurugwa haichek na mtu mjanja mjanja..
miaka ya sasa kama hujachaguliwa chuo cha serikali mkopo kupata ni ngumu sana...
maana hata hapo udsm chuo cha taifa mkopo kuupata ngumu.. ndio uende st johns serikali ikupe loan...
naona kabisa wateja wa hivyo vyuo ambao ni wanafunzi kukosekana wa kusoma vyuo hivyo...
mark my words... vyuo vingi sana vinaenda kufilisika soon...
waliowekeza kwenye hostel na nyumba za kupangisha wanafunzi nao wajiandaeeeeee
nchi ilifika pabaya sana kila mtu anajianzishia chuo tu apige hela huku elimu mbovu mbovu...
magufuli chaguo la mungu tinga tinga amekujaaa kufuta janja janja zote nchi hiiii
hata mzumbe ilikuwa na janja janja nyingi sana.. mtu form 4 tu.. anasoma certificate mwaka mmoja... kisha anajiunga degree na anapata loan.. hii ilichangia sana kuleta graduates vihiyooo